Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masalia ya marehemu mna gubu sanaKweli matatizo ya Tanzania hayajulikani mpaka yakajadiliwe uswisi?
Ni haki yako mama chapa kazi,..achana na maneno za sukuma Gang.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi.
View attachment 2484826View attachment 2484827View attachment 2484828View attachment 2484829
Yapo ya kitaifa na kimataifa (kichwa panzi)Kweli matatizo ya Tanzania hayajulikani mpaka yakajadiliwe uswisi?
Vipo vikao vya kimataifa Rwanda huwa anakwenda lakini Tanzania asiende, mara nyingi hili hutegemea study ambayo nchi hufanya kuona manufaa ya Mkutano kwa nchi husika, elewa! Na si kujiendea bila study maalum, "how will this meetings benefits my country"Umemuona hapo rais wa Rwanda, Uganda, China, Singapore? Ujinga mtupu
Karibu unaletewa pipa la kakao kutoka uswisi.Zama za mabeberu zilishapitwa na wakati
kutokuona manufaa yeyote ni sawa, kwani hakuona hayo unayoyaona wewe au hao Wazungu wanavyofikiri(kutawala, na wizi kwa nguvu yeyote ile)Vipo vikao vya kimataifa Rwanda huwa anakwenda lakini Tanzania asiende, mara nyingi hili hutegemea study ambayo nchi hufanya kuona manufaa ya Mkutano kwa nchi husika, elewa! Na si kujiendea bila study maalum, "how will this meetings benefits my country"
YULE JAMAA ALIKUWA AKIOGOPA KABISA KUJUMUIKA NADHANI SHIDA ILIKUWA LUGHA.
Mtu bahili, ni Benki nzuri kwa warithi wake!Magufuli yeye safari zake nyingi ilikuwa ni chato.
Tabia mbaya sisi ChawaWaMama hatuna tatizo na mtu. Unapaswa kujua sisi tupo kwa ajili ya kujibu hoja.Mama anaupiga mwingi tatizo chawa
Nimeona bandiko la "BANNED" kwenye jina lake! AMESTAHILI"Unajua hata Tina hupimwa vipi!?..kanyoe mavvuzzi itakua yanakuwasha
Kwa hiyo hao marais wa Rwanda, Uganda, China , Singapore ndio 'SI Unit" ya werevu!!???Umemuona hapo rais wa Rwanda, Uganda, China, Singapore? Ujinga mtupu