Rais Dkt Samia, watanzania tunajivunia wewe kuwa Rais Wetu


Watanzania wapiπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ wa Zanzibar labda
 
Nitoe kwenye hao watanzania,siwezi kushiriki kwenye utekaji,ubakaji,ulawiti na uuaji unaofanyika chini ya huu utawala kwa kidhalimu
 
Watu wa hovyo ni pamoja na hawa unapewa laki moja upost kukubalika kwa mtu ambae unajua hakubaliki hiyo pesa ukiigawanya kwa mwaka ni sawa umelipwa 274 pesa ambayo haitoshi kula yako ukiigawanya kwa miaka mitano utakuwa unapata shiling 55 we unafaida kwa vizazi vijavyo
 
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI

No reform no election.
 
No reforms no election πŸ’― βš’οΈ
October tutakuwepo 😎
 
No REFORMS No ELECTION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…