#COVID19 Rais Duterte wa Ufilipino ajuta kuchanjwa Covid 19

#COVID19 Rais Duterte wa Ufilipino ajuta kuchanjwa Covid 19

Please don’t get a shot
Malalamiko ya Astre zeneca na pfizer yamekuwa mengi lakini bado wamezing'ang'ani kuzisambaza. Ni huruma au ni biashara.
 
Sitaki kuamini kama kweli Rais durtete amekuwa vaccinated na izo chanjo za wachina ila inavyoonesha kuna madhara yameanza kuonekana mtaani ivo ameamu kuji mask yeye kama case study ili kutuma ujumbe mzito, Usalama wa nchi hauwezi kuruhusu huo upuuzi wa kumchanja Rais hata Mr Slim wa Rwanda ilikuwa ni maagizo tu
 
Back
Top Bottom