Sitaki kuamini kama kweli Rais durtete amekuwa vaccinated na izo chanjo za wachina ila inavyoonesha kuna madhara yameanza kuonekana mtaani ivo ameamu kuji mask yeye kama case study ili kutuma ujumbe mzito, Usalama wa nchi hauwezi kuruhusu huo upuuzi wa kumchanja Rais hata Mr Slim wa Rwanda ilikuwa ni maagizo tu