Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Mwalimu jikite kwenye madaHawe rais
Ni awe sio hawe
Awe rais.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu jikite kwenye madaHawe rais
Ni awe sio hawe
Awe rais.
Yote hayo aliyajua ila alikuwa anajimwambafy tu.Duterte angeomba ushauri wa polisi wetu ambao mtu akifa utasikia "mtuhumiwa alikuwa akikataa amri halali ya polisi hali iliyofanya polisi kutumia risasi ya moto na kumlenga mguuni ila kwa bahati mbaya mtuhumiwa alifia njiani akikimbizwa hospitali"..... au "Mtuhumiwa alijirusha kutoka kwenye gari lililokuwa kasi"...
George BushVipi kuhusu Vladmir Putin
baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
The list is too longGeorge Bush
Tony Blair
Obama
Sarkozy
Una bahati upo mbali, hapo ulitakiwa ule bakora kadhaa ndipo nikusahihishe.Mwalimu jikite kwenye mada
Huyo analindwa na baba yake Marekani. Hivyo hakuna nchi yenye jeuri ya kumkamata.Vip Kuhusu waziri Mkuu wa Israel
mauajk tumeyaona hapa Tz , Bi Ushungi ajiandae kbsOfisi ya Rais wa Ufilipino imeripoti kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte, baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Duterte alikamatwa Jumanne katika Uwanja wa Ndege wa Manila alipowasili kutoka Hong Kong, kwa mujibu wa serikali ya Ufilipino.
Duterte anakabiliwa na tuhuma za “uhalifu dhidi ya ubinadamu” kutokana na kampeni kali ya kupambana na Dawa ya kulevya wakati wa uongozi wake.
Kulingana na hati ya kukamatwa, kampeni yake maarufu kama “vita dhidi ya dawa ya kulevya”, alipokuwa Rais kutoka 2016 hadi 2022, iliwanyima washukiwa “haki ya mchakato wa kisheria” na ilisababisha vifo vya maelfu ya watu, wakiwemo watoto.
Akijitetea dhidi ya ripoti za uwezekano wa kukamatwa kwake, Duterte hapo awali alisema kuwa alifanya “kila kitu…kwa ajili ya watu wa Ufilipino”.
Atakamatwa akija kutoka madarakani kama ilivyo kwa duterteVip Kuhusu waziri Mkuu wa Israel
Inabidi rais wetu mpendwa mheshimiwa rais Dr. Samia Suluhu Hassan aongeze mbinyo (pressure) vyombo vya dola kuwabaini na kuwafikisha watu wasiojulikana mbele ya vyombo vya sheria ili haki itendeke nchini
View attachment 3267117
Hatujaona faili la uchunguzi kuhusu waliohusika kumteka na kumshambulia Mzee Ali Mohamed Kibao, Soka, Sativa, Tundu Lissu n.k kwa kuwataja wachache.
Rais wetu mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ahimize taarifa za maendeleo ya uchunguzi wa matukio ya kusikitisha zinahitimishwa na kwa uwazi haki itendeke...
View attachment 3267118
For more information about victims’ rights before the ICC, victims can contact the Victims Participation and Reparations Section (“VPRS”) - the section within the ICC Registry responsible for assisting victims in the process of applying for participation in judicial proceedings, and reparations in case of a conviction, at VPRS.information@icc-cpi.int.