Rais Farmajo wa Somalia ampigia simu Rais Kenyatta kuomba msamaha masaa machache baada ya kupokea onyo kali kutoka Ikulu ya Kenya

Rais Farmajo wa Somalia ampigia simu Rais Kenyatta kuomba msamaha masaa machache baada ya kupokea onyo kali kutoka Ikulu ya Kenya

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Nimeona taarifa nyingi sana humu kuhusu mvutano ambao ulitokea kati ya nchi ya Kenya na Somalia mapema wiki hii.

Ila sijaona taarifa hizo zikipeana picha kamili kuhusu tukio hilo wala kilichofata baada ya rais Uhuru Kenyatta kutoa onyo kwa serikali kuu ya Somalia.

Mgogoro wote ulianza baada ya vikosi vya SNA ya Somalia kushambulia vikosi vya kijeshi vya Jubaland(JSF).

Kwenye mji ya Bulla Hawo, Somalia ambayo imepakana na mji wa Mandera, Kenya mpakani mwa nchi za Kenya na Somalia. Jambo ambalo lilizua taharuki ndani ya mji wa Mandera, Kenya.

Tukio hilo lilichukuliwa na GOK kama uchokozi na ndio maana rais Uhuru Kenyatta akatoa onyo kali kwa serikali kuu ya Somalia.

Masaa machache baada ya onyo hilo rais Farmaajo wa Somalia alimpigia simu rais Uhuru Kenyatta.

---
On Thursday, March 4, Garowe Online, an independent news outlet based in Somalia was first to report that Farmajo reached out to Kenyatta to resolve tensions between the two nations.

"We, therefore, urge the Federal Government of Somalia, to cease and desist from the unwarranted provocations and focus on managing its internal affairs for the welfare of her people; defeating terrorism; and advancing the cause of peace, security, and stability in the region," a press statement from State House read.

Farmajo and Kenyatta discussed measures to be undertaken in resolving the stalemate and agreed to appoint respective committees to handle the matter diplomatically.

Another point of discussion was ways to jointly work on border security by sending committees from both nations to hold talks on strengthening trade ties between the nations.

Kenyatta and Farmajo also acknowledged that border security was a shared responsibility around a mutual interest and affirmed that security was interconnected. They also agreed that consultations should be held in case of misunderstandings.


Uhuru's statement came in the wake of the March 2, attack that took place in Bulla Hawa in Somalia, which borders Kenya's Mandera town. Somalia National Army (SNA) troops invaded Mandera and engaged in a fierce gunfight with Jubaland forces, leading to deaths and displacement of thousands of people.

After the attack, Mandera Governor Ali Roba directed his county staff to keep away from their offices as he could not guarantee their safety.

The report on Farmajo's call came hours after the governor insisted that Jubaland forces were roaming free in Mandera County.

"Jubaland security forces are moving right inside Mandera town on Bulla Jamhuria Road, near the central chief camp, by the Huduma Center. This is a major threat to the security of Kenyans in Mandera. Our government must move with speed to mitigate this situation or risk more loss of lives," Roba tweeted.

However, Kanze Dena, State House spokesperson, declined to comment on the issue, upon being contacted for comment.

Farmajo's decision to approach Kenyatta is a change of tack from his previous decision to snub calls for talks with Kenya over another row, the Kenya-Somalia maritime border dispute.

On September 26, 2019, in his inaugural United Nations speech, the Somalia president stated that the matter was in court and that the International Court of Justice (ICJ) should be the ultimate arbiter because talks between the two countries had collapsed.

“We are very pleased that the court found that it had jurisdiction to resolve the dispute and that is scheduled for the final hearing for the merit case in November this year,” he stated.

Kenyatta had earlier on affirmed that he was open to other dispute resolution mechanisms, emphasising on dialogue.

“I have always believed and stood my ground that dialogue is the best and amicable way for finding the best and positive solution. This brings us together as opposed to a conflict that pushes away from each other,” Kenyatta suggested.

Source: kenyans.co.ke
 
Lucky son of a b**"*
Taarifa kuhusu mazungumzo hayo kwenye simu, kama ilivoripotiwa kwa mara ya kwanza kutoka Villa Somaaliya na media ya Somalia Garowe Online. Inside Farmajo's phone call to Uhuru over Gedo skirmishes Rais Uhuru na mwenzake wa Somalia walizungumza pia kuhusu kutengeneza kamati ya kwa pamoja kuhusu kuboresha mahusiano na biashara pia kati ya Kenya na Somalia. Waliafikiana pia kuwa na juhudi za pamoja za kuboresha usalama kwenye boda za Somalia-Kenya.
 
Nimeona taarifa nyingi sana humu kuhusu mvutano ambao ulitokea kati ya nchi ya Kenya na Somalia mapema wiki hii. Ila sijaona taarifa hizo zikipeana picha kamili kuhusu tukio hilo wala kilichofata baada ya rais Uhuru Kenyatta kutoa onyo kwa serikali kuu ya Somalia. Mgogoro wote ulianza baada ya vikosi vya SNA ya Somalia kushambulia vikosi vya kijeshi vya Jubaland(JSF). Kwenye mji ya Bulla Hawo, Somalia ambayo imepakana na mji wa Mandera, Kenya mpakani mwa nchi za Kenya na Somalia. Jambo ambalo lilizua taharuki ndani ya mji wa Mandera, Kenya. Tukio hilo lilichukuliwa na GOK kama uchokozi na ndio maana rais Uhuru Kenyatta akatoa onyo kali kwa serikali kuu ya Somalia. Masaa machache baada ya onyo hilo rais Farmaajo wa Somalia alimpigia simu rais Uhuru Kenyatta. >>>Somalia President Calls Uhuru After Kenya Issues Tough Warning
Farmaajo amewacha kuuza bahari la kenya?? 😂😂😂
Munafurahishwa na vitu vya hovyo sana na vile vya msingi mnaweweseka mpo hoi hoi
 
Anajua shughuli yetu, na asithubutu siku nyingine. Japo kiaina pamoja na kuomba kwake msamaha, bora akaonyeshwa makucha yetu yalivyokua yamechomoza, maana hii fursa ilikua imejipa ya wazi ya kuikoloni Somalia na kuwapa amani ya kudumu.
 
Farmaajo amewacha kuuza bahari la kenya??Munafurahishwa na vitu vya hovyo sana na vile vya msingi mnaweweseka mpo hoi hoi
Badala ya kuruka ruka ungemtumia rais wenu Farmaajo nakala umueleze aache shobo na kujipendekeza. Yaani hata hangengoja masaa 24 yaishe? [emoji1] Kuhusu bahari Farmajoo wenu hana sauti. Rais Madobe wa Jubaland, ambaye tulimtengenezea nchi yake na tukamueka usukani na ambaye bahari sasa lipo kwake anamtoa Farmaajo kijasho kwenye vita. Alafu kesi kule ICJ ambayo hawana matumaini ya kushinda tuliihairisha kwa mwaka mzima hadi baadaye mwakani. Checkmate!
 
Badala ya kuruka ruka ungemtumia rais wenu Farmaajo nakala umueleze aache shobo na kujipendekeza. Yaani hata hangengoja masaa 24 yaishe? [emoji1] Kuhusu bahari Farmajoo wenu hana sauti. Rais Madobe wa Jubaland, ambaye tulimtengenezea nchi yake na tukamueka usukana na ambaye bahari sasa lipo kwake anamtoa Farmaajo kijasho kwenye vita. Alafu kesi kule ICJ ambayo hawana matumaini ya kushinda tuliihairisha kwa mwaka mzima hadi baadaye mwakani. Checkmate!
Hizi movie zenu na somalia, jubaland na alshababu zinaendelea kunoga😂😂😂
Mumepoteza maisha ya Raia, askari na majeshi...Sasa hadi bahari wamechua mumebaki na hoja za kinyonge eti mumehairisha kesi hamna lawyers😂😂😂
Yaani nyie hamuelewi hakuna tofauti..Wote ni wasomali na nyinyi ni nywele ngumu
 
Ile ng'ombe yenye ilikuwa inawika hapa JF jana eti Kenya inaogopa Somalia iko wapi? Hio ng'ombe ilikuwa inasema ati Somalia inapewa support na Ethiopia, eti Kenya haiwezi lipiza hayo mashambulizi, saa hii imekwenda kujificha mitini kwa sababu ya aibu na jina lake linaanza na J
 
Badala ya kuruka ruka ungemtumia rais wenu Farmaajo nakala umueleze aache shobo na kujipendekeza. Yaani hata hangengoja masaa 24 yaishe? [emoji1] Kuhusu bahari Farmajoo wenu hana sauti. Rais Madobe wa Jubaland, ambaye tulimtengenezea nchi yake na tukamueka usukana na ambaye bahari sasa lipo kwake anamtoa Farmaajo kijasho kwenye vita. Alafu kesi kule ICJ ambayo hawana matumaini ya kushinda tuliihairisha kwa mwaka mzima hadi baadaye mwakani. Checkmate!
Yaani Marekani imempigia Farmajo simu ikamuambia aombe Uhuru msamaha. Yaani Farmajo amejua Kenya sio shithole kama Mogdishu, we have friends in high places.
 
Hizi movie zenu na somalia, jubaland na alshababu zinaendelea kunoga Mumepoteza maisha ya Raia, askari na majeshi...Sasa hadi bahari wamechua mumebaki na hoja za kinyonge eti mumehairisha kesi hamna lawyers Yaani nyie hamuelewi hakuna tofauti..Wote ni wasomali na nyinyi ni nywele ngumu
Yaani mliamini mkiwa na mjomba wenu Farmaajo kwamba Kenya haina mawakili? [emoji1][emoji1][emoji1] Kuna jaji ambaye Kenya haitaki awe kwenye bench. Kabla ya kesi kuanza atakuwa tayari amekula retire baada ya miaka yake ya kusonga kando kuwadia. Nimekuambia hii ni chess, na nyie ambaye mmezoea kucheza checkers kwenye vilabu mkilewa hamtaelewa hizi moves. 😎 Nakumbuka hapo nyuma kidogo ulisema kwamba wakenya ni majizi eti na wao ndio wanaiba bahari ya Somalia. Leo hii umebadilisha gia angani na unasema kwamba Somalia ndio wanaiba bahari ya Kenya. Matikiti maji huwa mna matatizo sio haba.
 
Ni sawa na mtu ameto.mba mkeo halafu anasema samahani .

Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa, Bulla Hawa ipo Somalia, ndani ya ardhi yao. Sema ni mji ambao unaingia upande wa Kenya na ndio unaitwa Mandera Town. Tuseme pale Namanga upande wa Tz wanalumumba muanze kurushiana makombora na wapinzani wenu, kisha vita vyenu visababishe taharuki upande wa pili wa Kenya. Alafu Kenya ichukulie hilo kama dharau na uchokozi.
 
Yaani mlimiamini mkiwa na mjomba wenu Farmaajo kwamba Kenya haina mawakili? [emoji1][emoji1][emoji1] Kuna jaji ambaye Kenya haitaki awe kwenye bench. Kabla ya kesi kuanza atakuwa tayari amekula retire baada ya miaka yake ya kusonga kando kuwadia. Nimekuambia hii ni chess, na nyie ambaye mmezoea kucheza checkers kwenye vilabu mkilewa hamtaelewa hizi moves. 😎 Nakumbuka hapo nyuma kidogo ulisema kwamba wakenya ni majizi eti na wao ndio wanaiba bahari ya Somalia. Leo hii umebadilisha gia angani na unasema kwamba Somalia ndio wanaiba bahari ya Kenya. Matikiti maji huwa mna matatizo sio haba.
Somalia walishaa nyakua bahari na kuuza hivyo hio ni mali yao.
Kuzidisha kenya ilitaka ICJ isisikize kesi hiyo..Hoja hizo zika pigwa chini
👇👇
Bid to bar Kenya from ICJ case flops
Sasa lazima muende Mahakamani ICJ..Mukaanza hoja za kinyonge eti hamna lawyers mpewe more time😂😂😂
👇👇
Screenshot_2020-03-06_213148.jpg
 
Somalia walishaa nyakua bahari na kuuza hivyo hio ni mali yao. Kuzidisha kenya ilitaka ICJ isisikize kesi hiyo..Hoja hizo zika pigwa chini.
Kwani aliyepeleka kesi ICJ ni nani, kama bahari tayari ni lao? Mbona unajikanganya? Kenya ndio imefanikiwa kudelay kesi mara mbili, mara ya kwanza kwa miezi mitano, ya pili kwa mwaka. Hizo ni tactics za kawaida za kisheria kwenye kila mahakama. Kama unaamini kwamba hayo yote ni kwasababu Kenya haina mawakili basi utakuwa wewe ni lofa kupindukia. Alafu kando na yule jaji ambaye Kenya haimtaki kwenye bench na ambaye anaenda retire kabla ya kesi kuanza tena. Bado kuna ile seat pending ambayo Kenya inataka kupata kwenye UN Security Council. Mahakama ya ICJ ni judicial organ ya UN. Hesabu za 1+1 zinakukanganya mzee? [emoji1]
 
Back
Top Bottom