Rais Farmajo wa Somalia ampigia simu Rais Kenyatta kuomba msamaha masaa machache baada ya kupokea onyo kali kutoka Ikulu ya Kenya

Anajua shughuli yetu, na asithubutu siku nyingine. Japo kiaina pamoja na kuomba kwake msamaha, bora akaonyeshwa makucha yetu yalivyokua yamechomoza, maana hii fursa ilikua imejipa ya wazi ya kuikoloni Somalia na kuwapa amani ya kudumu.
Ingekula kwake, angewapa Nyang'au mwanya wa kuwala mzima mzima, tena kiulaiiiniii. Ila rais Farmaajao huwa anazingua sana na huwa hajielewi. Nakumbuka kwenye kampeni za uchaguzi uliopita wasomali walivomuumbua alipojaribu kuwahadaa na Big 4 Agenda. Ambayo ilikuwa ni plagiarism neno kwa neno, agenda kwa agenda kutoka kwa Big 4 Agenda ya rais UK. Jamaa ni wannabe mkubwa sana wa rais Uhuru Kenyatta. [emoji1] Villa Somalia Shamelessly Plagiarizes Uhuru Kenyatta's 'Big Four' Presenting It As Farmajo's
 
Hehehe...ICJ sio kibera law courts upeleke tetesi za kijinga -eti 'So & so judge' ni kabila ya msomali sijui blah blah etc..
Hadi leo uhuru anaomba maridhiano nje ya ICJ..
 
Hehehe...ICJ sio kibera law courts upeleke tetesi za kijinga -eti 'So & so judge' ni kabila ya msomali sijui blah blah etc..
Hadi leo uhuru anaomba maridhiano nje ya ICJ..
Kwani nani amepeleka tetesi zozote kuhusu majaji. Kenya imetumia mbinu halali kisheria kupitia motions za kuhairisha kesi hiyo hadi imewadia wakati wa jaji huyo kuenda retire. Pia Kenya imefanikiwa kuhakikisha kwamba kesi ikianza kura kuhusu atakayepata kiti kwenye UN Security Council zitakuwa tayari zimepigwa. Strategies na ushawishi ndio mchezo wenyewe. Jombaa, siutulie tu ufanye risechi kidogo kuhusu kesi hiyo kabla ya kutupia pumba humu kwenye mada ambayo hata haihusu kesi hiyo. Mbona unaruka ruka ovyo ovyo, kwani tumbo lako linakusokota?
 
Hahaha..Kwanza mlitaka kuingiza hoja za kikabila ICJ..Tetesi zenu zika pigwa chini sasa lazima kesi iendelee..
Leo mnataka jaji kwanza a staafu😂😂😂
Munasahau kuna majaji wa asili ya kibeberu waliopo hapo na nchi zao ndio wamenunua leseni za kuchimba madini baharini muliyo pokonywa..
Yaani kwa mkenya, ukabila ndio hoja kuu kwa kila jambo😆😆😆
 
Hujielewi, pingamizi la Kenya ni NATIONALITY(uraia) wa jaji huyo ambaye ni raia wa SOMALIA sio kabila lake. Acha ushamba, mbona Kenya pia kuna wasomali ambao ni wazawa, raia wa Kenya? Kwahivyo Amina Mohammed alipokuwa waziri wa masuala ya nje alikuwa anaiwakilisha Somalia na sio Kenya? 😕 Hii sasa ni zaidi ya kukosa hoja. 😀
 
Huyo jugde msomali wa ICJ kumbe ako karibu kuretire. Will he retire before June? Kesi yetu inaanza June
 
ICJ has no enforcement capacity and it's orders can be ignored without consequence.
 
Wayamalize kidiplomasia tu maana vita ya majirani si nzuri kabisa, ingawa watu wengine wanafurahia...
 
Safi sana Matrixx kuna jamaa kwenye uzi huu alikuwa anaulizia picha, za rais Farmaajo na Uhuru wakizungumza kwenye simu. 😀
 
Sauti ya Ujerumani wanasema Rais wa Somalia alipiga simu baada ya kushinikizwa afanye hivyo na Rais wa Marekani na sio onyo la Uhuru.

macson
 
Sauti ya Ujerumani wanasema Rais wa Somalia alipiga simu baada ya kushinikizwa afanye hivyo na Rais wa Marekani na sio onyo la Uhuru.

macson
Leta taarifa kamili tuzichambue. Kama ni kweli itakuwa ni freshi zaidi kidiplomasia na kwenye ushirikiano kati ya Kenya na US na pia kuhusu ushawishi wa rais UK na Kenya kimataifa.
 
Anajua Kenya ni Kusema nini[emoji23][emoji23].
Somalia anafurahisha marafiki wenzake wanyonge kama Tz lakini kenya inamfinya Makende huku chini[emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi hiyo
Anajua shughuli yetu, na asithubutu siku nyingine. Japo kiaina pamoja na kuomba kwake msamaha, bora akaonyeshwa makucha yetu yalivyokua yamechomoza, maana hii fursa ilikua imejipa ya wazi ya kuikoloni Somalia na kuwapa amani ya kudumu.
Ingekuwa TZ sawa c kwa kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la Kenya hawana mbinu madhubuti wanabahatisha
Lete jeuli hivyo hivyo ila huwez fana Isha JWTZ na vitu vya kipuuzi hivi unazani ile ishu iliotoke Kenya Kwenye ime super market ingekuwa JWTZ unazani wangefika usiku?
Jombaa, hizi nyakati sio za vita vya kiChuck Norris misituni. Watu wanawekeza kwenye technologia, vitu kama drones na cyber warfare. Bila hardware za kijeshi kuvunja matofali ni upuuzi mtupu. Hapa E.A. kwenye ununuzi wa vifaa na silaha tunapelekana sako kwa bako na Uganda tu, ambao wameizidi hata Tz. Mwaka wa 2018/19 Kenya ilitumia KES 24.9billion kununua silaha. Mwaka wa 2017/18, Kenya KES 1.3billion, Uganda 1.8billion, Tz-0. Eti kwasababu mlikuwa mnabana matumizi. 😀 Alafu mwaka wa 2016/17, Kenya ilitumia KES 2.8billion. Kenya takes arms war to EA with Sh17.5bn budget
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…