Rais Filipe Nyusi Atangaza ushindi Msumbiji Cabo Delgado. Raia watanzania walihusika?

Rais Filipe Nyusi Atangaza ushindi Msumbiji Cabo Delgado. Raia watanzania walihusika?

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2007
Posts
8,189
Reaction score
7,853
Mozambique President Filipe Nyusi on Tuesday announced that the country's armed forces, with the help of Rwanda and the Southern African Development Community (SADC) forces, have reclaimed nearly all areas that were seized by militants in Cabo Delgado province.

President Nyusi said some locals are returning to their homes.

The leader was speaking during an event to celebrate The Day of Victory, marking 46 years since the Portuguese colonial army was expelled from the Southern African country.

President Nyusi said leaders of the terrorist group consists of nationals from Tanzania, Democratic Republic of Congo, Somalia, Rwanda and Kenya, who "recruit Mozambicans for their activities".
========

Raisi wa Msumbiji Filipe Nyusi Jumanne hii alitangaza majeshi yake pamoja na yale ya Rwanda na SADC kuchukua eneo kubwa la Cabo Delgado .

Adaia Watanzania wamo! khee! Watanzania?
 
Mh. Raisi Felipe ni ndugu yetu, alisomea ujanja wa vita kwetu. Chama chake cha FRELIMO na CCM ni ndugu kisiasa.
Najiuliza; ni nini haswa, u comrade na Raisi wetu au ni kujitutumua wakati kunaonekana kupwaya kwa nguvu za viongozi wa SADC...south covid na makesi, zam
bia uchaguzi, Tanzania kifo cha Magufuli, Kenya nyumba imejaa moshi, Uganda uchaguzi na covid, yaani kila mtu yupo bize na nyumba yake, anabaki Raisi Kagame, Nyusi ambao bado wana nguvu na jeuri za kufanya maamuzi magumu barani.
 
Mkuu Kiranja, usishikwe na butwaa, huwa haviandikwi kihivyo tsk tsk
 
Wale watanzania wanaouliwa kila siku kwa ukatili mkubwa wengine kwa kutobolewa macho na wengine kufungwa kwenye sandarusi kunafanywa na watanzania wenzao tena kwa ujira mdogo
Bahati mbaya kuna wakati huko kukawa moto kweli kweli, lakini husikii "Gaidi"
 
Tuletee link tuone kilichowekwa
 
Magaidi rasmi wa kuwalinda watawala. Hawa wanakuwa hawana kesi, ila karma huwanyoosha
Wale watanzania wanaouliwa kila siku kwa ukatili mkubwa wengine kwa kutobolewa macho na wengine kufungwa kwenye sandarusi kunafanywa na watanzania wenzao tena kwa ujira mdogo tu
 
Back
Top Bottom