Rais, Fukuza Washauri Wanaofanya Vetting

Rais, Fukuza Washauri Wanaofanya Vetting

Kosa letu ni pale tulipoamua kuwa united republic badala ya kuwa republic! Nchi yoyote ambayo ni United republic huwa kama shamba la bibi!
 
Sipendi kuona viongozi vijana wachapakazi wazalendo kabisa wakitukanwa. Umewakosea heshima hawa waheshimiwa

Nikki anafanya kazi kubwa sana, inaonekana. Anapambana usiku na mchana kuleta Maendeleo kwa wananchi, kisarawe amwacha historia kubwa mno

Babu tale ni mgeni bungeni lakini ana mchango mkubwa sana kwenye jimbo lake

Msukuma ni moja ya wabunge wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kutetea maslahi ya wananchi
Nick sio kwa kujimwagia sifa hizi, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee.
 
Wewe choko mimi sio Nikki alafu usiwe unapenda kuingia kwenye 18 zangu katafute basha ukatatuliwe hayo marinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nick bhanaaa, unachekesha mnoo aaaah
 
Usalama wa Taifa hawalisaidii Taifa letu, najua tunao humu wengi tu na wengi wanachangia maada na kukebehi pia lkn tambueni ya kuwa Dhamana mliyokabidhiaa ni kubwa sana, sijui hata mnachaguanaje kwa kuangalia vigezo gani, Lkn inchi hii madudu yote yanayotokea mnayajua tangia mwanzo wake na hamtimizi wajibu wenu kwa mudaMuafaka, Saidieni Taifa hili , we’re tired of observing Tanzania Resources been snatched negligently while the Responsible Gov Identities are watching.
 
TISS hawana msaada
Wabadilishe sheria za uajiri TISS

Secret Service iliundwa kulinda Thamani ya pesa la Marekani.

TISS ivunjwe
Nashangaa hapa

Sheria ya uundaji wa tiss imesheelezwa sana kazi yao kushauri siyo execute, na awaruhusiwi kuitisha press kusema mafanikio na changamoto zao.

Kiongozi wa juu kama ameshauliwa halafu ajatekeleza wao wafanyaje?
 
Back
Top Bottom