Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe

Umejibu Kipumbavu mno. Jitathmini tu!
Hebu niambie kihekima ndio kupi? Hivi kwani rais anapanga ziara ya barabarani? Kuwa leo nikipita kwenda kariakoo basi nitasimama Faya, niongee na wananchi? Au wananchi ndiyo wanamsimamisha rais kisha anawasikiliza na kuwajibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…