Mimi naomba kupata majibu kutoka taasisi nyeti kabisa ya taifa hili Ikulu.
Mh Rais anasema watu wachape kazi anasisitiza nakusisitiza nakubeza kila juhudi inayofanyika hata kama sio kwakusema moja kwa moja ila fumbo mfumbie mjinga.
Uliposema watu wazushiwa hofu na una data watu wamepona Ummi alikimbia kutoa taarifa na kukaa kimya. Kelele zilipozidi mtendaji mkuu wa shughuli za serikali Waziri mkuu akatoka mafichoni na kutoa data za covid19.
Hatujakaa sawa aliependekeza data zisitolewe adharani ukampa wizara yakatiba nakubeza vipimo vya maabara. Hapa nidhahiri hutaki kusikia habari za covid 19.
Ila mimi najiuliza nani asie penda kuishi nani asiependa kupumuwa hii pumzi nzuri ya Mungu bila shaka sote tunaipenda nakama sote tunaipenda wewe ukiwa kama amiri jeshi mkuu njoo vitani tufanye kazi rudi Dodoma au magogoni dsm zunguka kwa wananchi wako kama zamani onyesha njia mkuu wangu.
Mwalimu Nyerere alipoamua kwenda vitani na Idiamin alifanya jambo moja lakishujaa hakukaa ikulu ila alienda kwenye vita Kagera kwenda kaguwa kaz ya vijana wake. Jambo lina tushituwa sote naiman mpaka wakuu wausalama ulio waita ni wewe kama kiongozi kujitenga na kufanya kazi kutoka chato while unaimiza watu wafanye kazi na wasikae nyumbani watakufa njaa.
Kiukweli hapa mkuu unawafanya watu wakose pumzi nakuonekana kama mtu asie jali watu wake ila anajijali mwenyewe. Taifa kama China tumeona mpaka Rais wao anaenda Huwan hosp kuwapa pole wagonjwa hii ndio maana ya dhamana. Wewe mkuu umejitenga naunapiga debe watu wasiogope kikorona sasa wewe Mbona unaiogopa? au sisi raia tuna miili ya chuma isiyodhurika?
Rais wa Marekani hajaama ikulu na covid imewachapa kiukweli sasa Kwanini wewe na kwanin unakaa mbali unatusakizia vitani na kutukejeli mara vifaa fake, mara takwimu sio sahihi?