Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,408 Reaction score 12,100 Mar 23, 2026 #1 Rais hataniwi kamwe, Ila Magufuli aliweza kumtania Jakaya, hata alipozingua alimsemelea kwa kaka yake selemani. Wakenya mwacheni mama yetu tafadhali, mnatumia AI kuonesha mama yetu azungusha Nini? Itumieni kwa baba yenuuuu
Rais hataniwi kamwe, Ila Magufuli aliweza kumtania Jakaya, hata alipozingua alimsemelea kwa kaka yake selemani. Wakenya mwacheni mama yetu tafadhali, mnatumia AI kuonesha mama yetu azungusha Nini? Itumieni kwa baba yenuuuu
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,742 Reaction score 56,070 Mar 23, 2026 #2 Sifi Leo said: Rais hataniwi kamwe, Ila Magufuli aliweza kumtania Jakaya, hata alipozingua alimsemelea kwa kaka yake selemani. Wakenya mwacheni mama yetu tafadhali, mnatumia AI kuonesha mama yetu azungusha Nini? Itumieni kwa baba yenuuuu Click to expand... Wakenya hawatoacha na cha kuwafanya hamna
Sifi Leo said: Rais hataniwi kamwe, Ila Magufuli aliweza kumtania Jakaya, hata alipozingua alimsemelea kwa kaka yake selemani. Wakenya mwacheni mama yetu tafadhali, mnatumia AI kuonesha mama yetu azungusha Nini? Itumieni kwa baba yenuuuu Click to expand... Wakenya hawatoacha na cha kuwafanya hamna
Humilis JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 920 Reaction score 1,154 Mar 23, 2026 #3 'Wewe ni mama yako? Mimi sio mama yangu...' - TAL.
Bold JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 578 Reaction score 944 Mar 23, 2026 #4 Unawapangia wakenya cha kusema