Uchumi wa buluuYeye karibu kila siku ni kutumbua tu.
Haya aendelee hivyo hivyo kutumbua mpaka miaka mitano iishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi wa buluuYeye karibu kila siku ni kutumbua tu.
Haya aendelee hivyo hivyo kutumbua mpaka miaka mitano iishe.
No
Ni nchi isiyokuwa na mamlaka,
Kuita mkoa umewashusha sana
Sahihi, inatokana na kumpindua Sultan Jemshid bin Abdullah.Asante sana Mkuu
View attachment 2122163
Hii mapinduzi inatokana na kumpindua Sultan au inatokana na nini maana naiona hata kwenye chama chetu
Lakini aliyepinduliwa hadi leo yuko haiAsili yake ni wale walompindua sultan,kwa Sasa hakuna hata mmoja
Naomba msaada kufahamu maana ya Baraza la Mapinduzi