Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa viongozi watatu

Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa viongozi watatu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Capt. Khatib Khamis Mwadin kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM)

Mudrik Fadhil Abass ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Maji katika Wizara ya Maji,Nishati na Madini

Pia, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Shaaban Ameir kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO)

44A8FDEC-4BC5-4BA5-9EF5-F0D35EDAAC26.jpeg
 
Back
Top Bottom