Rais Hussein Mwinyi siyo kila Unachoambiwa na Mgeni Jirani ukiamini 100%, kwani Wengine huwa Wanakusanifu na Kukudharau pia

Rais Hussein Mwinyi siyo kila Unachoambiwa na Mgeni Jirani ukiamini 100%, kwani Wengine huwa Wanakusanifu na Kukudharau pia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Gwaride lile la Askari Wetu hasa wale Makomandoo lilifanya tukiwa katika Hafla Ikulu ya Zanzibar Marais Wageni wa Nchi Jirani wasifie na waseme hakika Tanzania imewazidi vingi" alisema Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi.

Chanzo: Nipashe ya Radio One leo Saa 12 na Nusu za Asubuhi.

Hakuna Marais wenye Akili Kubwa, Wajanja na wameiva Kijeshi ( Kimedani ) na Kijasusi ( Kinjagu ) kama Yoweri Museveni wa Uganda na Paul Kagame wa Rwanda.

Yaani Unasanifiwa unaona Kweli.
 
Back
Top Bottom