Afrikasana
JF-Expert Member
- Oct 27, 2021
- 320
- 288
Wameshamsoma mamaNasikitika tu, nilikywa natumaini atmuelewa mama kbe hasara.Ngoja tusubiri mwisho utakuwaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshamsoma mamaNasikitika tu, nilikywa natumaini atmuelewa mama kbe hasara.Ngoja tusubiri mwisho utakuwaje.
Pole mkuu inaelekea umeumia sanaHao maafisa utumishi vilaza na nyie mnaokubali kufanyiwa huo upuuzi na nyinyi ni vilaza tu.....dunia ya leo ukigundua mtu anakuharibia ili mambo yako yasiende unamchelewesha ili iweje?....acheni kulalamika hivyo ..acheni kuwa wanyonge...vunja nyonga yake akalale wodini mwaka mzimaa..akiendelea mtangulizeni kibra..afisa utumishi unapata wapi ujasiri wa kucheza na maisha ya mtu....bahati mbaya sijapata kuajiriwa serikalini....mbona ni rahisi sana kumpoteza mpuuzi mmoja ili kuwasaidia wengine
So sad[emoji24][emoji24][emoji24]kuna mtumishi alikuwa anaomba kujihamisha kwa sababu za ugonjwa lkn alizungushwa weee hadi akafa!! yaani kuna viongozi wa juu ni makatili afadhali hata wanyama.
mtu anaumwa na anataka kufuata matibabu, tena anajihamisha lkn kwa maksudi anakataliwa.
Waziri Mohamedi Mchengelwa fuatilia watumishi wako wa chini wanateswa sana na viongozi wao ktk masuala ya uhamisho wa ugonjwa.
mtu anaumwa na ana vielelezo vya kidktari lkn anafanyiwa zengwe.