Rais Jakaya , Atabaki Kama Baba demokrasia nchini, sijaona wa kuvunja rekodi yake hapa karibuni

Rais Jakaya , Atabaki Kama Baba demokrasia nchini, sijaona wa kuvunja rekodi yake hapa karibuni

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo,
Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja,
Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu,
Katika hayo tunampongeza sana sana Rais Jakaya,
Kama ikitokea Rais ambaye atamalizia katiba mpya, huyo nae ataingia kwenye rekodi
 
Hivi unakumbuka kuwa bomu lilipuka Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA wakati wa utawala wa Kikwete?
 
Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja, Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu,
Katika hayo tunampongeza sana sana Rais Jakaya, Kama ikitokea Rais ambaye atamalizia katiba mpya, huyo nae ataingia kwenye rekodi
Ni huyu Jakaya ninaemfahamu mimi au mwingine unaemsema hapa? Ni huyu kukitokea ukakasi alikuwa anasema just ignore it, litapita tu kama upepo?

Sikiliza, usichanganye permissiveness na democracy. Permissiveness ni pale hujui cha kufanya unaamua kuacha mambo yajiendee, hata kuita wapinzani ikulu mnaongea lakini hufanyi lolote kuhusu walilokuambia, hasa ukiamini maoni na matakwa yao yatapita tu kama upepo.

Na ndio watu huwa wanakosea pia kuhusu Mwinyi. Hakuwa democratic, alikuwa permissive kwa sababu haukuwa visionary.
 
Back
Top Bottom