Wa aina ganiJk ni snake
kifutuWa aina gani
Hivi unakumbuka kuwa bomu lilipuka Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA wakati wa utawala wa Kikwete?Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo,
Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja,
Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu,
Katika hayo tunampongeza sana sana Rais Jakaya,
Kama ikitokea Rais ambaye atamalizia katiba mpya, huyo nae ataingia kwenye rekodi
Ni huyu Jakaya ninaemfahamu mimi au mwingine unaemsema hapa? Ni huyu kukitokea ukakasi alikuwa anasema just ignore it, litapita tu kama upepo?Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja, Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu,
Katika hayo tunampongeza sana sana Rais Jakaya, Kama ikitokea Rais ambaye atamalizia katiba mpya, huyo nae ataingia kwenye rekodi