Rais Jakaya Kikwete ampigia simu Diamond Platinum

hivi ile project aliyomtafutiaga na meneja wa Trey Song iliishiaga wapi,au ndo mambo ya siasa? Anyway JK atakumbukwa kwa kujali vijana wenye juhudi na wanaoitangaza nchi, aliwatembeleaga hadi kina mbwana samatta kupiga stori mbili tatu Congo, safi!
 
Kwa hiyo kikwete ana namba ya simu ya domo...? Ya king wetu sijui atakua nayo...? Ila hata afisa misitu na wanayamapori nae atakosa namba ya king...?
Teh Teh labda atakuwa nayo
 
hahaahhahah lakin wote si wasanii lazma wapongezane 1 msanii wa msiki mwingine msanii wa siasa
 
Aya sasa kuwa followed na davido ambaye kashafollow takriban watu 2453 akiwemo mr icon platnumz au kupigiwa sim na rahc wa nchi ambae hana hata muda wa kuchezea ktk maisha yake bora nn... CKU ZOTE MARAIS HUPIGIANA SIM WENYEW KWA WENYEW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…