Ni bahati mbaya sana Bongo Movie wameshindwa kumtumia JK manake eneo la Bongo Movie nalo alionesha interest ya kutosha, sema dah, jamaa ukitaka kuwabeba, wanaingia na nyembe kwenye mbeleko wanaanza kukurarua rarua nayo wewe mwenyewe mbebaji na wakiona kibri usiyejali maumivu, wanaanza kuishughulikia na mbeleko yenyewe!!hivi ile project aliyomtafutiaga na meneja wa Trey Song iliishiaga wapi,au ndo mambo ya siasa? Anyway JK atakumbukwa kwa kujali vijana wenye juhudi na wanaoitangaza nchi, aliwatembeleaga hadi kina mbwana samatta kupiga stori mbili tatu Congo, safi!