Rais Jakaya Kikwete ampigia simu Diamond Platinum

hivi ile project aliyomtafutiaga na meneja wa Trey Song iliishiaga wapi,au ndo mambo ya siasa? Anyway JK atakumbukwa kwa kujali vijana wenye juhudi na wanaoitangaza nchi, aliwatembeleaga hadi kina mbwana samatta kupiga stori mbili tatu Congo, safi!
Ni bahati mbaya sana Bongo Movie wameshindwa kumtumia JK manake eneo la Bongo Movie nalo alionesha interest ya kutosha, sema dah, jamaa ukitaka kuwabeba, wanaingia na nyembe kwenye mbeleko wanaanza kukurarua rarua nayo wewe mwenyewe mbebaji na wakiona kibri usiyejali maumivu, wanaanza kuishughulikia na mbeleko yenyewe!!
 
Duh!! yaani basi la Simiyu limepata ajali mbaya na kuuwa Watanzania zaidi ya 20 cha ajabu Rais badala ya angalau kuzungumzia machungu na kuwapa pole Majeruhi na wale ndugu waliopoteza ndugu na jamaa zao anampigia simu Diamond kumpongeza yaani tukio hili amelipotezea kwa kuwa tu muda wake ndio unayoyoma.
 
Unalalamika, unanung'unika, au?
 
Sawa tu. Raisi anapenda burudani.
 
Wanasema Mondi kuingia Ikulu mwisho October,basi navyojua hat a rais atakaekuja lazma atakaa tu kwa chibu na atafungua lango la Ikulu
 
Mnaweweseeeeka ngojeni tu sisi maneno hatuna...nyiny kiongoz wenu ana domo kubwa vile lazima muwe wakubwabwaja sisi akhaaaaa tukutane afrimma...ndo mtajua domo huwa anapeta pale ambapo King hayupo tuuu puuumbav
 

Hahaaaaaaa,hawakawii kumpa scendo zs picha chafu!"
 
Achani nae upumue jamani khaa! Ajali ataongelea kesho,leo ni pongezii tu kwa diamond
 
Mnaweweseeeeka ngojeni tu sisi maneno hatuna...nyiny kiongoz wenu ana domo kubwa vile lazima muwe wakubwabwaja sisi akhaaaaa tukutane afrimma...ndo mtajua domo huwa anapeta pale ambapo King hayupo tuuu puuumbav
This's too low... hapa watu wapo kwenye creating funny sasa unapofikia hadi kukosoa kazi ya Muumba utafikiri umejiumba mwenyewe wakati kuna watu wanazaliwa wakiwa warembo kweli kweli lakini yule yule aliyewaumba anawafanya wawe wa kwenye wheel chair na wakati mwingine zaidi ya hapo! Mtu anayejitambua hawezi kuongea mambo ya hovyo kama hayo... try to grow... hakuna mkamilifu kwenye dunia hii lakini hata ikiwa wewe ni mkamilifu, uliyeumbwa ukaumbika kiasi cha kutokuwa na kasoro yoyote, basi unatakiwa tu kumshukuru Mungu badala ya kukashifu kazi yake as if wewe ulilipia chochote hata ukazaliwa ukiwa umeumbika vizuri....
 
Hivi kumbe kupigiwa simu na Rais ni issue kubwa hivi eeh?
Basi kuanzia leo itabidi niwe nampigia salute...... wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…