Rais Jakaya Kikwete amsifia Diamond Songea Kwenye Sherehe za CCM

yes yupo juu zaidi ya kina koffie olomide,yupo juu zaidi ya kina psquare,yupo juu zaidi ya kina akon na 2face,yes diamond ni msanii mkubwa sio tu afrika ni dunia nzima,yupo level za kina michael jackson.
 
Ila zari mzuri jamani.hv mfano mkuu akampindua domo.itakuwaje?
 
Ila zari mzuri jamani.hv mfano mkuu akampindua domo.itakuwaje?

yule dada kama kigoli wa miaka 20 vile duuh yani mpaka waheshimiwa macho kwake.
 
Umeongeza chumvi, hajasema Afrika bali amesema Tanzania... kwamba, kwa sasa hakuna mwanamuziki Tanzania anayemzidi Diamond na huo ndio ukweli wenyewe, asiyetaka atuwekee tangible evidence na mapenzi ya moyo yanayosukumwa na emotions!
 
Labda kama Afrika inaanzia Magogoni na kuishia Mbagala, hapo inawezekana hamna tatizo.
Ingawaje JK hajasema Afrika lakini pole sana ikiwa unaamini nguvu za Diamond zinaishia Mbagala.
 
Ingawaje JK hajasema Afrika lakini pole sana ikiwa unaamini nguvu za Diamond zinaishia Mbagala.

Hujaandika katika context ya thread, na hakuna niliposema chochote kuhusu nguvu za Diamind kuishia Mbagala.

Labda ujifunze kusoma kwanza kabla ya kuandika.
 
JK huwa anaongea vitu bila kushirikisha ubongo..alishawahi kusema maiti wa waliozama na meli zanzibar zitatambuliwa kwa kufanya DNA testing...

Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaa
 
Hujaandika katika context ya thread, na hakuna niliposema chochote kuhusu nguvu za Diamind kuishia Mbagala.
Labda ujifunze kusoma kwanza kabla ya kuandika
Aisee!!
Madai ya mleta mada (THREAD) ni kwamba JK amesema hakuna mwanamuziki mkubwa kwa Afrika kama Diamond na wewe ukasema:
Labda kama Afrika inaanzia Magogoni na kuishia Mbagala, hapo inawezekana hamna tatizo.
Halafu tena unadai:
.... hakuna niliposema chochote kuhusu nguvu za Diamind kuishia Mbagala. Labda ujifunze kusoma kwanza kabla ya kuandika.
Haya sasa... ewe unayeandika kutokana na context ya thread, nijuze basi suala la ikiwa Afrika inaanzia Magogoni na kuishia Mbagala umelihusisha vipi kwenye mada hii manake sana sana naona wewe ndo unaandika bila kuangalia context ya posts, WHY? kibafute aliandika:
JK huwa anaongea vitu bila kushirikisha ubongo..alishawahi kusema maiti wa waliozama na meli zanzibar zitatambuliwa kwa kufanya DNA testing...
BestOfMyKind akahoji
kwani kuna tatizo kusema hivi?
Endapo ungekua unaandika kwa kuangalia context ya post ungefahamu wazi kwamba alichohoji BestOfMyKind ni ikiwa kuna tatizo kusema maiti waliokuwa wamezama na meli wangetambuliwa kwa kuangalia DNA, lakini badala yake, ukasema:
Labda kama Afrika inaanzia Magogoni na kuishia Mbagala, hapo inawezekana hamna tatizo.
COMPLETELY OUT OF POST CONTEXT!!!!
 
Last edited by a moderator:
JK anaposema hakuna mwanamuziki mkubwa kwa Afrika kama Diamond anaongelea Afrika gani?

Ya kuanzia Magogoni na kuishia Mbagala?
Alah! kumbe ndicho ulichokuwa unamaanisha!! Kwenye post yangu ya awali nimeshasema kwamba mleta mada ameongoza chumvi, na hata post uliyoni-quote wewe nilisema JK hajasema Afrika... kwahiyo sidhani kama nalazimika kujibu swali lako hili ambalo msingi wake unaenda kinyume na kile nilichosikia mimi, kwamba, reference ya JK ni Tanzania na sio Afrika!
 
ye aseme ana mapenzi na dimond na maneno yake sio sheria wasanii kwa wasanii bwana dah ndege wanaofanana ndio huruka kundi moja
 
ye aseme ana mapenzi na dimond na maneno yake sio sheria wasanii kwa wasanii bwana dah ndege wanaofanana ndio huruka kundi moja
labda ww ukiulizwa msanii anaye tikisa sasa hivi afrika mashariki ww utamtaja nani?
 
Hiyo Tanzania anatumia kigezo gani?
 
Bora mimi completely out of post context.

Wewe umekuwa completely out of threads context.
 
Bora mimi completely out of post context.

Wewe umekuwa completely out of threads context.
Niwe completely out of thread context wakati nimeshasema mleta mada ametia chumvi... alichosema sicho kilichoongelewa!!! Inaonekana wewe source yako ni mleta mada wakati mimi nimesikiliza hotuba A-Z!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…