Rais Jakaya Kikwete amsifia Diamond Songea Kwenye Sherehe za CCM

Rais Jakaya Kikwete amsifia Diamond Songea Kwenye Sherehe za CCM

Wewe unayekubaliana na JK kwa kusema "na huo ndio ukweli wenyewe" kwenye madai yake halafu ukakataa kwamba umekubaliana naye bila aibu ndiye mwenye matatizo ama ya kufikiri, ama ya kujielezea.
Bwah! bwah! bwah! naona ume-panic jombaa!!! Labda nikukumbushe kwa hili:
Hahahahahaaaa.... ulidhani nimesahau kwamba nimeandika nini... I knew it before kwamba hapo ndipo utakapokimbilia... my post was crystal clear:
Sikuwa na sababu ya kuhangaika kumjibia JK, mosi, mie sie mwandishi wake lakini kubwa zaidi nilishafahamu in advance ni wapi ulikua unaelekea na kweli, ukaja huko huko na nikakupa jibu lako ambalo limeishia na swali ambalo umeshindwa kulijibu na wala hautakaa uweze kulijibu!!!

Hata hivyo, hapo kwenye BLUE hapo... mbona sikumbuki pahala popote kusema suala la uwezo mdogo wa kufikiri zaidi ya kusema uwezo wa kuelewa na kuelewesha!!! Hata hilo suala la uwezo wa kujieleza, sikumbuki kulisema popote unless kama kuelewesha na kujieleza ni one and the same!!!! Au ni kweli ume-panic nini????!!! Bwah! bwah! Bwah! Binafsi, nimekiri kwamba uwezo wangu wa kuelewesha umeishia hapo na kukupa changmoto wewe kutathmini uwezo wako wa kuelewa! Na kama unaamini uwezo wako wa kuelewa ni mkubwa na usio na shaka, wala sikuwa na hiyana, nikakupa credit zako hizo hapo kwenye RED:
Ikiwa umeshindwa kunielewa kwa kitu kidogo kama hicho basi ni ama uwezo wangu wa kuelekeza ni mdogo au wa kwako wa kuelewa ni mdogo! Katika mazingira kama hayo, tutakuwa tuna-under utilize one of the most important resources, MUDA! Nikiri wazi kwamba, binafsi uwezo wangu wa kuelewesha umeishia hapo... upo kwenye super saturated point! Uwezo wako wa kuelewa umeshautathmini? Ikiwa una uwezo wa kuelewa zaidi kuliko ulivyo uwezo wangu wa kuelewesha, basi sina shaka kwamba utaelewa tu with time!!!!
KWAHERI... rejea simulizi ya akina Mloka!!!
 
Bwah! bwah! bwah! naona ume-panic jombaa!!! Labda nikukumbushe kwa hili:
Sikuwa na sababu ya kuhangaika kumjibia JK, mosi, mie sie mwandishi wake lakini kubwa zaidi nilishafahamu in advance ni wapi ulikua unaelekea na kweli, ukaja huko huko na nikakupa jibu lako ambalo limeishia na swali ambalo umeshindwa kulijibu na wala hautakaa uweze kulijibu!!!

Hata hivyo, hapo kwenye BLUE hapo... mbona sikumbuki pahala popote kusema suala la uwezo mdogo wa kufikiri zaidi ya kusema uwezo wa kuelewa na kuelewesha!!! Hata hilo suala la uwezo wa kujieleza, sikumbuki kulisema popote unless kama kuelewesha na kujieleza ni one and the same!!!! Au ni kweli ume-panic nini????!!! Bwah! bwah! Bwah! Binafsi, nimekiri kwamba uwezo wangu wa kuelewesha umeishia hapo na kukupa changmoto wewe kutathmini uwezo wako wa kuelewa! Na kama unaamini uwezo wako wa kuelewa ni mkubwa na usio na shaka, wala sikuwa na hiyana, nikakupa credit zako hizo hapo kwenye RED:KWAHERI... rejea simulizi ya akina Mloka!!!

Mimi kupanic inabidi angalau mtu awe na intelligence, kwa uharisho wako wa kujipinga mwenyewe, mara mjadala hauna tija, balafu hapo hapo huuachi unajionyesha huna intelligence hata ndogo tu.

Zaidi ya hapo hujui unaenda au unarudi, mara umuunge mkono JK kwa kusema "ukweli ndio huo", halafu hapo hapo unauliza wapi umemuunga mkono JK.

Kwa upungueni wako ushaaga kwa heri balafu urarudi hapa tena.
 
Mkuu naomba unisaidie hizo compliments JK anazitoa kwa mzani UPI?

pia unisaidie kuwianisha hizo kelele na interests tunazopata Kama nchi kutokana na huyo msanii....
 
Fukara

JK amezungumza hayo kwa vigezo vipi?
 
Last edited by a moderator:
Salva anahusikaje? Wewe umeleta habari haikuletwa na salva sasa unamwingizaje hapa?

sasa mimi ntajuaje jk alikuwa anafikilia nn kusema vile?salva anausika coz ndo msemaji wake shehe
 
sasa mimi ntajuaje jk alikuwa anafikilia nn kusema vile?salva anausika coz ndo msemaji wake shehe

Kama alichosema JK kingeletwa na salva ningemwuliza....

Lakini wewe ndo umeleta thread nami nakuuliza kutokana na tone ya ujumbe wako..

Umeletaje mazungumzo ya MTU ikiwa wewe si msemaji wake?
 
Umeongeza chumvi, hajasema Afrika bali amesema Tanzania... kwamba, kwa sasa hakuna mwanamuziki Tanzania anayemzidi Diamond na huo ndio ukweli wenyewe, asiyetaka atuwekee tangible evidence na mapenzi ya moyo yanayosukumwa na emotions!

Alisema Africa,mtoa mada yuko sawa kabisa
 
Mkuu naomba unisaidie hizo compliments JK anazitoa kwa mzani UPI?

pia unisaidie kuwianisha hizo kelele na interests tunazopata Kama nchi kutokana na huyo msanii....

Labda unisaidie wewe mkuu, mimi nimeuliza hilo la kigezo/mzani sijajibiwa mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom