Bwah! bwah! bwah! naona ume-panic jombaa!!! Labda nikukumbushe kwa hili:Wewe unayekubaliana na JK kwa kusema "na huo ndio ukweli wenyewe" kwenye madai yake halafu ukakataa kwamba umekubaliana naye bila aibu ndiye mwenye matatizo ama ya kufikiri, ama ya kujielezea.
Sikuwa na sababu ya kuhangaika kumjibia JK, mosi, mie sie mwandishi wake lakini kubwa zaidi nilishafahamu in advance ni wapi ulikua unaelekea na kweli, ukaja huko huko na nikakupa jibu lako ambalo limeishia na swali ambalo umeshindwa kulijibu na wala hautakaa uweze kulijibu!!!Hahahahahaaaa.... ulidhani nimesahau kwamba nimeandika nini... I knew it before kwamba hapo ndipo utakapokimbilia... my post was crystal clear:
Hata hivyo, hapo kwenye BLUE hapo... mbona sikumbuki pahala popote kusema suala la uwezo mdogo wa kufikiri zaidi ya kusema uwezo wa kuelewa na kuelewesha!!! Hata hilo suala la uwezo wa kujieleza, sikumbuki kulisema popote unless kama kuelewesha na kujieleza ni one and the same!!!! Au ni kweli ume-panic nini????!!! Bwah! bwah! Bwah! Binafsi, nimekiri kwamba uwezo wangu wa kuelewesha umeishia hapo na kukupa changmoto wewe kutathmini uwezo wako wa kuelewa! Na kama unaamini uwezo wako wa kuelewa ni mkubwa na usio na shaka, wala sikuwa na hiyana, nikakupa credit zako hizo hapo kwenye RED:
KWAHERI... rejea simulizi ya akina Mloka!!!Ikiwa umeshindwa kunielewa kwa kitu kidogo kama hicho basi ni ama uwezo wangu wa kuelekeza ni mdogo au wa kwako wa kuelewa ni mdogo! Katika mazingira kama hayo, tutakuwa tuna-under utilize one of the most important resources, MUDA! Nikiri wazi kwamba, binafsi uwezo wangu wa kuelewesha umeishia hapo... upo kwenye super saturated point! Uwezo wako wa kuelewa umeshautathmini? Ikiwa una uwezo wa kuelewa zaidi kuliko ulivyo uwezo wangu wa kuelewesha, basi sina shaka kwamba utaelewa tu with time!!!!