Rais Jakaya Kikwete amzibia ‘masikio’ Lissu

Rais Jakaya Kikwete amzibia ‘masikio’ Lissu

[Nakapanya;5110166]na mimi naomba niulize ulishasikia wapi america au ulaya kiongozi yeyote wa kisiasa hata kama ni profesa anaitwa kwa tittle yake kama huku kwetu?]

Ni ushamba na ulimbukeni tu wa kutaka titles ambazo hawana uwezo nazo. Si unaona watu wanavyohusudu digrii za kupewa? Kuna huyu mnamwita baba mwana Asha anadai kusomea uchumi lakini alipooulizwa kwanini nchi yako ni masikini si akaruka mita mia kuwa na yeye hajui! Lakini si unamsikia na kumwona anavyoringa na kujisikia kuitwa Dr?
 
na mimi naomba niulize ulishasikia wapi america au ulaya kiongozi yeyote wa kisiasa hata kama ni profesa anaitwa kwa tittle yake kama huku kwetu?

Wakiwa wahitimu wa kijeshi tena kwa kusomea huwa hwataki kujulikana kwa vyeo hivyo bali vya kupewa bila kusomea Mheshimia Rais Dr Kanali Jakaya ingependeza sana
 
[nampongeza Jk ila nina mashaka na uteuzi wa jaji juma kuwa jaji wa rufaa
ameingia majuzi kuwa jaji ni mapema mno kuingia rufaa
utendaji wake bado una mashaka kuweza kuingia rufaa
kaawacha majaji wazuri na wenye weledi zaidi yake,
kuwa jaji wa mahakama ya rufaa sio lelema isichukuliwe kisiasa]

Mimi naona tufike mahali watu waombe kazi sio kuteuliwa. Wenzetu Kenya wako hatua hiyo ambapo jaji mkuu anaomba kazi na kufanyiwa interview. Hii itasaidia kuepusha kuteuana kwa mtindo wa 'mwenzetu' Nafasi nyingine kama u RC na u DC kungekuwa na vigezo watu waombe na kupewa kazi kwa vigezo husika. Lakini ukiangalia teuzi hizo utashangaa ni vigezo gani vimetumika. Kwa ufupi zimekuwa ni nafasi za walioshindwa kupitia ubunge CCM, ndugu na marafiki wa wakubwa na upendeleo wa hali ya juu. Utashangaa mtu anapewa ubunge wa kuteuliwa viti maalumu halafu anateuliwa tena kuwa RC au DC. Ukiangalia CV za baadhi ya ma RC na ma DC utachoka. Hivyo kwenye nafasi za majaji ingekuwa watu waombe kazi na kufanyiwa usaili na makumpuni makubwa. Tatizo la teuzi zetu wanaangali vyeti na itikadi. Si kila Profesa au Dr anauwezo!
 
Mimi naona tufike mahali watu waombe kazi sio kuteuliwa. Wenzetu Kenya wako hatua hiyo ambapo jaji mkuu anaomba kazi na kufanyiwa interview. Hii itasaidia kuepusha kuteuana kwa mtindo wa 'mwenzetu' Nafasi nyingine kama u RC na u DC kungekuwa na vigezo watu waombe na kupewa kazi kwa vigezo husika. Lakini ukiangalia teuzi hizo utashangaa ni vigezo gani vimetumika. Kwa ufupi zimekuwa ni nafasi za walioshindwa kupitia ubunge CCM, ndugu na marafiki wa wakubwa na upendeleo wa hali ya juu. Utashangaa mtu anapewa ubunge wa kuteuliwa viti maalumu halafu anateuliwa tena kuwa RC au DC. Ukiangalia CV za baadhi ya ma RC na ma DC utachoka. Hivyo kwenye nafasi za majaji ingekuwa watu waombe kazi na kufanyiwa usaili na makumpuni makubwa. Tatizo la teuzi zetu wanaangali vyeti na itikadi. Si kila Profesa au Dr anauwezo![/QUOTE]

Mwambie Kikwete, na watetezi wake, aache kuteua atakuambia 'mbona Nyerere aliteua - mbona Mkapa aliteua - mbona Mwinyi aliteua - kwanini mimi nisiteue? Au urais wangu ni pungufu ya hao walionitangulia?' Hivi ndivyo alivyo tetea uamuzi wa kwanini ateue wajumbe wa tume ya katiba. Kwake JK urais hautatimia bila kuteua watu. Kwa hiyo nakubaliana na unachosema ila hakiwezekani Tanzania mpaka tutakapopata viongozi kwa maana ya viongozi (leaders). Kiongozi (leader) ni mtu anayeonyesha njia, sifa ambayo, JK, na waliomtangulia, hawakuwa nayo. Tunahitaji kiongozi atakeyesema mimi siteui, tangaza kazi, watu wapewe kwa sifa zao. Kiongozi atayesema badilisha sheria na kanuni zote zinazosema Rais anateua badala yake weka utaratibu wa kutangaza hizo nafasi na watu wapatikane kwa sifa zinazokubalika. "Viongozi" tulionao sasa wanataka ku-maintain walichokikuta hata kama hakina mantiki!
 
Obama Resume aka Cv's: Obama hana PHD: ila Upo Sahihi kwenye matumizi ya Title zao.

BARACK H. OBAMA
PO Box 8102 Office 866.675.2008 Chicago, IL 60680 Barack Obama http://my.barackobama.com/page/content/contact/
OBJECTIVE: President of the United States of America
"I'm asking you to believe. Not just in my ability to bring about real change in Washington ... I'm asking you to believe in yours."
Advocate for decisive change and action to restore the political, economic, military and social landscape and dominance of the United States as a global leader. Well-respected for political judgment, integrity, ethical behavior, passion and commitment to America's citizens.
Twice honored by Time magazine as one of the "100 Most Influential People in the World" (2005, 2007).
PROFESSIONAL EXPERIENCE:
U.S. Senator 2005 to Present State of Illinois, Chicago, IL / Washington, DC
Elected to U.S. Senate to represent the citizens of the State of Illinois. Work across Democratic, Republican and Independent party lines to develop, craft and pass legislative actions, bills and amendments to best serve the American people.

  • ENERGY. Active and highly visible proponent of alternative energy to reduce U.S. reliance on foreign nations.
    → Introduced American Fuels Act to increase domestic production of biofuels, expand manufacture of ethanol-capable vehicles, offer tax credits to spur cellulosic fuel production and provide corporate incentives to expand green technologies.
    • → Reintroduced Biofuels Security Act calling for 60B gallons of renewable biofuels in nation's vehicle fuel supply by 2030.
    • → Architected Oil SENSE Act eliminating unnecessary oil industry tax breaks.
    • → Sponsored FILL UP Act requiring oil companies with $1B+ in profits to invest a minimum of 1% in E-85 pumps (ethanol).
  • FOREIGN POLICY. Pioneered innovative legislative actions to protect the citizens of the U.S. and foreign nations.
    • → One of the first legislators to recognize the dangers of potential avian influenza pandemic and secured $25M for U.S.
      agencies working in Southeast Asia to combat and contain widespread disease outbreaks.
    • → Created Darfur Peace and Accountability Act imposing sanctions for genocide and crimes against humanity.
    • → Passed bipartisan amendment providing $13M for the Special Court of Sierra Leone to restore national justice.
    • → Introduced Global Poverty Act, a comprehensive strategy to eliminate global poverty by 50% and achieve the Millennium
      Development Goal of reducing the proportion of people worldwide who live on less than $1 per day.
  • HOMELAND SECURITY. Instrumental in successful passage of legislation to protect America and its citizens.
    • → Facilitated Chemical Security and Safety Act establishing a clear set of federal safety and mitigation regulations.
    • → Co-sponsored amendments to increase rail and transit security by $12B and extend Terrorism Risk Insurance Act.
    • → Spearheaded development of Spent Nuclear Fuel Tracking and Accountability Act to control nuclear waste.
  • CRIME. Lifelong proponent of stricter criminal laws for both violent and non-violent crime.
    • → Fought for passage of Combat Meth Act providing money to fight methamphetamine manufacture and use/abuse.
    • → Championed laws to combat sex crimes against children, including Dru's Law (included in the larger Adam Walsh Child
      Protection Act) and Sex Offender Registration and Notification Act (foundation for National Sex Offender Public Registry).
    • → Co-sponsored Violence Against Women Act providing funding for domestic violence, sexual assault and stalking.
  • ENVIRONMENTAL PROTECTION. Staunch advocate for passage of a host of environmental protection laws.
    • → Co-sponsored Warming Pollution Reduction Act projected to reduce U.S. greenhouse gas emissions 80% by 2050.
    • → Introduced Lead-Free Toys Act requiring Consumer Product Safety Commission to ban products containing lead.
    • → Spearheaded Lead Poisoning Reduction Act requiring non-home-based child-care facilities be lead safe within 5 years
      and establishing $42.6M grant program to help local communities pay to make these facilities safe.
  • FINANCIAL ACCOUNTABILITY. Leader of numerous initiatives to reduce government spending and abuse.
    • → Created Federal Funding Accountability and Transparency Act, resulting in an Internet search engine and database to
      track hundreds of billions of dollars in federal grants, contracts, earmarks and loans.
    • → Wrote amendment to require lobbyists to disclose the candidates, PACs or political parties for whom they collect funds.
    • → Actively supported amendment to provide for transparency and accountability in military and security contracting.

BARACK H. OBAMA ... 866.675.2008

Page 2

Highlights of Senatorial Committee & Committee Leadership Appointments:

  • Chairman, Senate Foreign Relations Subcommittee on European Affairs
  • Member, Senate Foreign Relations Committee
  • Member, Senate Committee on Homeland Security and Governmental Affairs
  • Member, Senate Committee on Health, Education, Labor and Pensions
  • Member, Environmental and Public Works Committee
  • Member, Senate Committee on Veterans' Affairs
    State Senator
    State of Illinois,
    Chicago, IL

1997 to 2004

Won an intensely competitive Senatorial race. Partnered with Democrats, Republicans and Independents to pass favorable legislation (e.g., education, health care, government spending, campaign finance, law enforcement).

  • Provided $100+ million in tax cuts to families over 3 years through legislative changes to state tax law.
  • Provided permanent health care coverage to 154,000 low-income residents (including 70,000 children).
  • Reformed the state's notorious death penalty laws to help prevent wrongful convictions.
  • Honored as a Keynote Speaker at the 2004 Democratic National Convention.
    Associate Attorney
    Davis, Miner & Barnhill,
    Chicago, IL
• Litigated employment discrimination, housing discrimination and voting rights cases. TEACHING EXPERIENCE:
Lecturer / Senior Lecturer University of Chicago Law School
• Taught courses in General Law, Constitutional Law and Government Affairs. GRASSROOTS ORGANIZING EXPERIENCE:

1993 to 2002
1992 to 2004

  • Planned and orchestrated grassroots effort targeting unregistered voters throughout the Chicago metro area. Resulted in 150,000 new African-American voters.
  • Improved living conditions in poor neighborhoods plagued with crime and high unemployment through work with a church- based group.
    EDUCATION:

    J.D., Magna Cum Laude, HARVARD LAW SCHOOL, 1991 President, Harvard Law Review (first African-American ever elected)
    B.A., Political Science, COLUMBIA UNIVERSITY, 1983 PUBLICATIONS:

  • The Audacity of Hope: Thoughts on Reclaiming the American Dream, Crown Publishers, 2006
  • Dreams From My Father: A Story of Race and Inheritance, Times Books, 1995 (reprint 2004)

Hivi akiitwaJudge Juma kuna shida gani?itamuondolea Uprofesa au? Misifa inawasumbua sana watz..mbona Obama ana PHD nani ulishasikia anamwita Dk?
 
Kuna anayeweza kusaidia kutuwekea orodha ya kesi alizohukumu Mh Jaji Profesa Juma akiwa Jaji. Miaka miwili/mitatu ya ujaji na sasa "anahamishiwa" mahakama ya rufaa, njia yake inaonekana ni "fast tack"! Kama alivyosema Ujanjaujanja kuna majaji wazuri tu waliofanya kazi ya kuheshimika lakini mpaka wanastaafu hawakuwahi Lukas kwenye bench la mahakama ya rufaa, nini special kwa Hutu Bwana.

Ni vyema katika katiba mpya ikahitajika majaji wote kuangaliwa upya ili wasiostahili kwa sababu zozote zile waachwe.
 
Obama hana PHD Mkuu Somoches

Natumaini utamwelewa Somoche!!!!
In late 1988, Obama entered Harvard Law School. He was selected as an editor of the Harvard Law Review at the end of his first year,[SUP][38][/SUP] and president of the journal in his second year.[SUP][39][/SUP] During his summers, he returned to Chicago, where he worked as a summer associate at the law firms of Sidley Austin in 1989 and Hopkins & Sutter in 1990.[SUP][40][/SUP] After graduating with a Juris Doctor (J.D.) magna cum laude[SUP][41][/SUP] from Harvard in 1991, he returned to Chicago.[SUP][38][/SUP] Obama's election as the first black president of the Harvard Law Review gained national media attention[SUP][39][/SUP] and led to a publishing contract and advance for a book about race relations,[SUP][42][/SUP] which evolved into a personal memoir. The manuscript was published in mid-1995 as Dreams from My Father.[SUP][42][/SUP]

University of Chicago Law School and civil rights attorney
In 1991, Obama accepted a two-year position as Visiting Law and Government Fellow at the University of Chicago Law School to work on his first book.[SUP][43][/SUP] He then served as a professor at the University of Chicago Law School for twelve years—as a Lecturer from 1992 to 1996, and as a Senior Lecturer from 1996 to 2004—teaching constitutional law.[SUP][44][/SUP]
From April to October 1992, Obama directed Illinois's Project Vote, a voter registration drive with ten staffers and seven hundred volunteer registrars; it achieved its goal of registering 150,000 of 400,000 unregistered African Americans in the state, and led to Crain's Chicago Business naming Obama to its 1993 list of "40 under Forty" powers to be.[SUP][45][/SUP] In 1993 he joined Davis, Miner, Barnhill & Galland, a 13-attorney law firm specializing in civil rights litigation and neighborhood economic development, where he was an associate for three years from 1993 to 1996, then of counsel from 1996 to 2004, with his law license becoming inactive in 2002.
 
kwa iyo mjadala umehamia kwa obama sivo?.

then kitu mie nashangaa, Tlissu amewadharau majaji, bado anataka kumshitaki jk kwa majaji hao hao ambao anasema ni mbumbu.
he might have a point but then anachezea uwanja wa ugenini bila kuhonga refa!!
 
Jaa la Kaya the historic prezidah next to IDD Amin Dada who did not know the value of professionalism up to appointing the cleaner as the Bank of Uganda Governor for "printing bank notes for the president". Crazy! we may not feel the severity of the bomb created now but its future blast will be more than Rwandan genocide!!

Well said....ila hiyo 'jaa la kaya' imenichekesha duh!
 
kwa iyo mjadala umehamia kwa obama sivo?.

then kitu mie nashangaa, Tlissu amewadharau majaji, bado anataka kumshitaki jk kwa majaji hao hao ambao anasema ni mbumbu.
he might have a point but then anachezea uwanja wa ugenini bila kuhonga refa!!

Ndo shida ya wabongo!mtu akisema ukweli,kadharau!
ss umeshangaa kutaka kumshitaki kwa majaji,kwani,TLisu alisema majaji wote hawana sifa?wapo wenye sifa wanaachwa na wanateuliwa wasio na sifa
 
Obama hana PHD Mkuu Somoches
President Obama earned a J.D.--a Juris Doctor (Doctor of Law) in 1991 from Harvard Law School.
There is NO PHD for Law. A J.D. is a professional program doctor's degree. It is equivalent to the D.D.S. or M.D.
A J.D. from Harvard School of Law is a very prestigious degree, especially when it is paired with the position of President of the Harvard Law Review.
 
Kwa Hiyo unakubaliana na Mimi kwamba Obama hana PhD DSN
 
Last edited by a moderator:
Natumaini utamwelewa Somoche!!!!
In late 1988, Obama entered Harvard Law School. He was selected as an editor of the Harvard Law Review at the end of his first year,[SUP][38][/SUP] and president of the journal in his second year.[SUP][39][/SUP] During his summers, he returned to Chicago, where he worked as a summer associate at the law firms of Sidley Austin in 1989 and Hopkins & Sutter in 1990.[SUP][40][/SUP] After graduating with a Juris Doctor (J.D.) magna cum laude[SUP][41][/SUP] from Harvard in 1991, he returned to Chicago.[SUP][38][/SUP] Obama's election as the first black president of the Harvard Law Review gained national media attention[SUP][39][/SUP] and led to a publishing contract and advance for a book about race relations,[SUP][42][/SUP] which evolved into a personal memoir. The manuscript was published in mid-1995 as Dreams from My Father.[SUP][42][/SUP]

University of Chicago Law School and civil rights attorney
In 1991, Obama accepted a two-year position as Visiting Law and Government Fellow at the University of Chicago Law School to work on his first book.[SUP][43][/SUP] He then served as a professor at the University of Chicago Law School for twelve years-as a Lecturer from 1992 to 1996, and as a Senior Lecturer from 1996 to 2004-teaching constitutional law.[SUP][44][/SUP]
From April to October 1992, Obama directed Illinois's Project Vote, a voter registration drive with ten staffers and seven hundred volunteer registrars; it achieved its goal of registering 150,000 of 400,000 unregistered African Americans in the state, and led to Crain's Chicago Business naming Obama to its 1993 list of "40 under Forty" powers to be.[SUP][45][/SUP] In 1993 he joined Davis, Miner, Barnhill & Galland, a 13-attorney law firm specializing in civil rights litigation and neighborhood economic development, where he was an associate for three years from 1993 to 1996, then of counsel from 1996 to 2004, with his law license becoming inactive in 2002.

Maelezo yako Mareeeeefu lakini hayaoneshi kwamba Obama ana PhD
 
Natumaini utamwelewa Somoche!!!!
In late 1988, Obama entered Harvard Law School. He was selected as an editor of the Harvard Law Review at the end of his first year,[SUP][38][/SUP] and president of the journal in his second year.[SUP][39][/SUP] During his summers, he returned to Chicago, where he worked as a summer associate at the law firms of Sidley Austin in 1989 and Hopkins & Sutter in 1990.[SUP][40][/SUP] After graduating with a Juris Doctor (J.D.) magna cum laude[SUP][41][/SUP] from Harvard in 1991, he returned to Chicago.[SUP][38][/SUP] Obama's election as the first black president of the Harvard Law Review gained national media attention[SUP][39][/SUP] and led to a publishing contract and advance for a book about race relations,[SUP][42][/SUP] which evolved into a personal memoir. The manuscript was published in mid-1995 as Dreams from My Father.[SUP][42][/SUP]

University of Chicago Law School and civil rights attorney
In 1991, Obama accepted a two-year position as Visiting Law and Government Fellow at the University of Chicago Law School to work on his first book.[SUP][43][/SUP] He then served as a professor at the University of Chicago Law School for twelve years—as a Lecturer from 1992 to 1996, and as a Senior Lecturer from 1996 to 2004—teaching constitutional law.[SUP][44][/SUP]
From April to October 1992, Obama directed Illinois's Project Vote, a voter registration drive with ten staffers and seven hundred volunteer registrars; it achieved its goal of registering 150,000 of 400,000 unregistered African Americans in the state, and led to Crain's Chicago Business naming Obama to its 1993 list of "40 under Forty" powers to be.[SUP][45][/SUP] In 1993 he joined Davis, Miner, Barnhill & Galland, a 13-attorney law firm specializing in civil rights litigation and neighborhood economic development, where he was an associate for three years from 1993 to 1996, then of counsel from 1996 to 2004, with his law license becoming inactive in 2002.

Maelezo yako Mareeeeefu lakini hayaoneshi kwamba Obama ana PhD
 
my dear, comments zako zina mantiki lakini hazina nguvu. Lissu alipotakiwa kujitetea at least ali-cite vifungu vya katiba kuonyesha wapi rais alikosea,alionyesha udhaifu wa majaji walioteuliwa. ingenipendeza sana if u could give out some reasons why the president has went wrong. then utueleze sifa za hao wengine!
 
President Obama earned a J.D.--a Juris Doctor (Doctor of Law) in 1991 from Harvard Law School.
There is NO PHD for Law. A J.D. is a professional program doctor's degree. It is equivalent to the D.D.S. or M.D.
A J.D. from Harvard School of Law is a very prestigious degree, especially when it is paired with the position of President of the Harvard Law Review.

Ila usisahau hii

To its array of innovative legal programs, Yale Law School has added yet another – a Ph.D. in Law. Yale's Ph.D. in Law is designed to prepare students who have earned a J.D. degree from an American law school to enter careers in legal scholarship. It will give students a broad foundation in the canon of legal scholarship and provide them the support and specialized training they need to produce their own scholarship. The Ph.D. will stand alongside Yale Law School's other very successful law teaching degrees – the J.S.D. and LL.M. – which are designed primarily for students who received their initial legal education outside the U.S. The Ph.D. program is made possible, in part, through a grant from The Mellon Foundation, as well as a gift from Meridee Moore '83, founder of Watershed Asset Management, L.L.C.

"In the past few decades, legal scholarship has matured as an academic discipline," said Dean Robert Post '77. "Because the level of the scholarship expected of entry-level law professors has risen quite dramatically, increasing numbers of law professors now pursue Ph.D.'s in allied disciplines like economics, history, philosophy, or political science. Because such disciplines train students in standards and questions that are different from those of the law, the natural next step for the legal academy is to create our own Ph.D. program that can focus on the questions and practices of the law itself. Students obtaining a Ph.D. in law may, of course, engage in interdisciplinary studies, but their work will be anchored in the framework of legal scholarship."

Yale Law School already is the most important institution in the United States for the education of future law professors. Despite the Law School's relatively small size, approximately ten percent of law professors currently teaching in the United States – including the deans of eight of the top ten law schools – received their legal education at Yale. Dean Post said that the Ph.D. program would help solidify the Law School's preeminence in placing its graduates in teaching positions, even as the market for junior law professors changes.

"It's becoming increasingly hard to transition directly from law practice to teaching," the Dean said. He explained that to secure entry-level appointments at law schools, candidates are now expected to present a relatively mature scholarly profile; they need a defined research agenda and a substantial portfolio of writing. Students who do not pursue a Ph.D. in an allied discipline increasingly obtain these qualifications by completing post-J.D. fellowships, which afford the time and opportunity to write, but such fellowships do not provide in-depth scholarly training. By contrast, students completing the new Ph.D. in Law will be required to take coursework, pass qualifying examinations, and write a dissertation. Students will also learn how to teach, and will have the full support of Yale Law School's Law Teaching Program, which has had remarkable success in placing graduates in tenure-track positions at law schools. The Ph.D. in Law will ensure that students have the necessary background and skills to launch them on successful scholarly careers.

"Yale Law School's Ph.D. in Law will offer a new, alternative route into a career in law teaching and legal scholarship," said Dean Post. "Some students will no doubt seek advanced degrees in cognate disciplines, but for those who wish to concentrate on law, we expect that the Ph.D. in Law will provide an attractive option."

The first class of Ph.D. students will begin their studies in the fall of 2013. Applications will be accepted in fall 2012. The program is open to those who have earned a J.D. degree at an American law school. Ph.D. students will be entitled to a waiver of the cost of tuition and will receive a stipend to cover their living expenses. For more information, visit the Ph.D. web pages.
 
Maelezo yako Mareeeeefu lakini hayaoneshi kwamba Obama ana PhD

I hope utajifunza kuelewa na kutafakari, na wakati mwingine kujua mantiki ya mwenzio na si kulazimisha unavyoelewa wewe ndio watu wote wanaelewa hivyo.

Doctor of Law or Doctor of Laws is a doctoral degree in law. The application of the term varies from country to country, and includes degrees such as the J.D., LL.D., Ph.D., J.S.D. also known as S.J.D, and Dr. iur.

American Law stages are as follows, Pre-Law, Law School, Trial Practice, Legal Clinic, Juris Doctor, Master of Laws, Doctor of Laws

Doctor of Philosophy, abbreviated as Ph.D., PhD, D.Phil., or DPhil in English-speaking countries and originally as Dr.Philos. (for the Latin philosophiae doctor or doctor philosophiae), is in many countries a postgraduate academic degree awarded by universities. The academic level known as a Doctorate of philosophy varies considerably according to the country, institution, and time period, from entry-level research degrees to higher doctorates. A person who attains a doctorate of philosophy may often be referred to as a doctor
 
Back
Top Bottom