Ndugu zangu JF,
Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao. Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa kuilinda na kuitetea katiba, alishindwa na anatakiwa afunguliwe mashtaka.
2. Ajiudhuru sasa kwa kushindwa kuilinda katiba.
Ahsanteni, tujadili