Rais Jakaya Kikwete ashitakiwe haraka (impeachment)

pondamali

Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
85
Reaction score
20
Ndugu zangu JF,

Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao. Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.

1. Aliapa kuilinda na kuitetea katiba, alishindwa na anatakiwa afunguliwe mashtaka.

2. Ajiudhuru sasa kwa kushindwa kuilinda katiba.

Ahsanteni, tujadili
 
Wewe 2010 ulikuwa wapi? Ukakaa na dukuduku mpaka leo!
 
Kwa katiba na sheria gani? Unadhani wasomi waliokaa kimya mpaka leo wajinga? Sasa ndio wakati wa kufanya masahihisho hayo, Kutengeneza vifungu vya kuilinda katiba na kudai mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yaendane na makubaliane na Katiba ya Muungano!!
 
Sio Tanzania, labda ingekuwa marekani! TANZANIA rais ni kila kitu, anadhani unaona jinsi rais alivyowakomalia wabunge wake wa ccm kushabikia serikali mbili badala ya 3 zilizopo kwenye rasimu!
 
Ndugu zangu JF,

Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao.
Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa kuilinda na kuitetea katiba, alishindwa na anatakiwa afunguliwe mashtaka.
2. Ajiudhuru sasa kwa kushindwa kuilinda katiba.

Ahsanteni, tujadili

I am in the process of writing up my personal impeachment resolution and i will present it to the opposition MP for Kikwete imoeachment process.
 
Magwiji wa sheria akina Shivji wameshafafanua kwa ustadi kwamba Katiba haikuvunjwa na hakuna tatizo lolote kwa Zbar kuitwa nchi kama dola mojawapo ndani ya JMT.
 
Kwa katiba na sheria gani? Unadhani wasomi waliokaa kimya mpaka leo wajinga? Sasa ndio wakati wa kufanya masahihisho hayo, Kutengeneza vifungu vya kuilinda katiba na kudai mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yaendane na makubaliane na Katiba ya Muungano!!

Hapana, katika mabadiliko ya 9 ya katiba 1993. Rais anaweza kushtakiwa
 
Kunyweni kwanza chai akili zikae sawa tatizo lenu mnaamka na bangi ndiyo maana akili zimewaruka.
 
Ndugu zangu JF,

Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao.
Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa kuilinda na kuitetea katiba, alishindwa na anatakiwa afunguliwe mashtaka.
2. Ajiudhuru sasa kwa kushindwa kuilinda katiba.

Ahsanteni, tujadili
Katiba gani unazungumzia siku za jk zinakwenda lakini kaa ukijua kuwa hatatokea Rais mwingine kama jk tanzania hata afrika nzima .

amekuwa ni mfano wa marais wa afrika kila sehemu sasa wanaiga kutoka kwake.
 
Hao magwiji hawaelezi ukweli, mabadiliko yoyote ya katiba yanayouhusu muungano ni lazima yapitishwe na bunge la JMT.
Unapotangaza dola ina maana unaunda na Jeshi la kukulinda.
 
Magwiji wa sheria akina Shivji wameshafafanua kwa ustadi kwamba Katiba haikuvunjwa na hakuna tatizo lolote kwa Zbar kuitwa nchi kama dola mojawapo ndani ya JMT.

Na wewe kwa akili yako uliyojaaliwa na Mungu unaona sawa tu kwa kuwa Prof kasema!
 
Katiba gani unazungumzia siku za jk zinakwenda lakini kaa ukijua kuwa hatatokea Rais mwingine kama jk tanzania hata afrika nzima .

amekuwa ni mfano wa marais wa afrika kila sehemu sasa wanaiga kutoka kwake.
wanaiga kwa kuvunja katiba?
 
Ndugu zangu JF,

Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao.
Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa kuilinda na kuitetea katiba, alishindwa na anatakiwa afunguliwe mashtaka.
2. Ajiudhuru sasa kwa kushindwa kuilinda katiba.

Ahsanteni, tujadili

------- zako zanzibar ni nchi labda wewe ndio ushitakiwe kwa kuleta uzi wakutaka kuingilia mamlaka ya nchi.Zanzibar ni nchi na ina Rais wake
 
Mleta mada anakunywa gongo kama ndio chai yake
 
Magwiji wa sheria akina Shivji wameshafafanua kwa ustadi kwamba Katiba haikuvunjwa na hakuna tatizo lolote kwa Zbar kuitwa nchi kama dola mojawapo ndani ya JMT.
Magwiji gani unaozungumzia,hao wanaosahau kauli zao za awali?!
 
Dj zero ni mtu mbaya sana, kwanini anachota ruzuku ya chama kisha anaenda kununua majumba dubai?
 
Akisikia hii anaweza zimia..ila ritz mwanasheria atamtetea mpah mwisho
 
Back
Top Bottom