Ndugu zangu JF,
Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao.
Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa kuilinda na kuitetea katiba, alishindwa na anatakiwa afunguliwe mashtaka.
2. Ajiudhuru sasa kwa kushindwa kuilinda katiba.
Ahsanteni, tujadili
Kwa katiba na sheria gani? Unadhani wasomi waliokaa kimya mpaka leo wajinga? Sasa ndio wakati wa kufanya masahihisho hayo, Kutengeneza vifungu vya kuilinda katiba na kudai mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yaendane na makubaliane na Katiba ya Muungano!!
Katiba gani unazungumzia siku za jk zinakwenda lakini kaa ukijua kuwa hatatokea Rais mwingine kama jk tanzania hata afrika nzima .Ndugu zangu JF,
Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao.
Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa kuilinda na kuitetea katiba, alishindwa na anatakiwa afunguliwe mashtaka.
2. Ajiudhuru sasa kwa kushindwa kuilinda katiba.
Ahsanteni, tujadili
Magwiji wa sheria akina Shivji wameshafafanua kwa ustadi kwamba Katiba haikuvunjwa na hakuna tatizo lolote kwa Zbar kuitwa nchi kama dola mojawapo ndani ya JMT.
wanaiga kwa kuvunja katiba?Katiba gani unazungumzia siku za jk zinakwenda lakini kaa ukijua kuwa hatatokea Rais mwingine kama jk tanzania hata afrika nzima .
amekuwa ni mfano wa marais wa afrika kila sehemu sasa wanaiga kutoka kwake.
Ndugu zangu JF,
Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao.
Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa kuilinda na kuitetea katiba, alishindwa na anatakiwa afunguliwe mashtaka.
2. Ajiudhuru sasa kwa kushindwa kuilinda katiba.
Ahsanteni, tujadili
Hivi mama yako siku hizi kaacha kuvuta?Kunyweni kwanza chai akili zikae sawa tatizo lenu mnaamka na bangi ndiyo maana akili zimewaruka.
Magwiji gani unaozungumzia,hao wanaosahau kauli zao za awali?!Magwiji wa sheria akina Shivji wameshafafanua kwa ustadi kwamba Katiba haikuvunjwa na hakuna tatizo lolote kwa Zbar kuitwa nchi kama dola mojawapo ndani ya JMT.