Rais Jakaya Kikwete ashitakiwe haraka (impeachment)

Unangoja nini? mahakama huzijui? kama hujui namna ya kufunguwa kesi muulize mchungaji Mtikila.
 
wanasubiri mpaka watu wauane ndio wajue kwamba nchi imechafuka . nch hii kwa sasa inamgogoro mzito kuliko nchi zinazopigana na yote haya ni uzembe wa viongozi na ccm, wenye akili hilo tunaliona lakini tukisea tunapuuzwa na walio madarakani
 
Ndumbayeye kesi haziozi hata sasa inaweza letwa Bungeni na mahakamani, in suport,or to facilitate the breech of National constitution!!
 
Last edited by a moderator:
@Ifweelo huyo Dr Slaa umemtoa wapi kwenye hii mada ya kuvunja katiba???
Mahakama si iliisha amua kesi ya Josephina na Dr Slaa, unataka kymfungulia kesi nyingine??
Wacha upotoshaji jibu hoja, JK anastahili kushitakiwa kwa kuvunja katiba???
 
Unangoja nini? mahakama huzijui? kama hujui namna ya kufunguwa kesi muulize mchungaji Mtikila.

Hivi unaelewa maana ya impeachment ? usikurupuke. Rais ana kinga ni lazima process ianzie bungeni.
 
Hivi unaelewa maana ya impeachment ? usikurupuke. Rais ana kinga ni lazima process ianzie bungeni.

Anza basi kumshtaki bungeni au wewe sisi mbunge, hata raia unaweza kupeleka malalamiko yako bungeni, au hujui hilo? kama hujui anza na mbunge wako, hauna mbunge? au anza na chama chako, hauna chama? peleka malalamiko yako unangoja nini?

Unaandikia mate na wino upo! Unanchekesha!
 
Soma katiba ya nchi uelewe ndio ujibu maswali. Vinginevyo nenda katafute mboga ya mchana waache watu wanaojua wajibu. Unarukia mno mambo usiyoyajua.
 
Soma katiba ya nchi uelewe ndio ujibu maswali. Vinginevyo nenda katafute mboga ya mchana waache watu wanaojua wajibu. Unarukia mno mambo usiyoyajua.

Katiba nnaijuwa sana tena na ndio maana nikakwambia unangoja nini? au ulikuwa unahororoja tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…