ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,335
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni gongo bavicha, sio chai ileAkisikia hii anaweza zimia..ila ritz mwanasheria atamtetea mpah mwisho
Ndugu zangu JF,
Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao.
Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa kuilinda na kuitetea katiba, alishindwa na anatakiwa afunguliwe mashtaka.
2. Ajiudhuru sasa kwa kushindwa kuilinda katiba.
Ahsanteni, tujadili
wanasubiri mpaka watu wauane ndio wajue kwamba nchi imechafuka . nch hii kwa sasa inamgogoro mzito kuliko nchi zinazopigana na yote haya ni uzembe wa viongozi na ccm, wenye akili hilo tunaliona lakini tukisea tunapuuzwa na walio madarakaniNdugu zangu JF,
Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao.
Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa kuilinda na kuitetea katiba, alishindwa na anatakiwa afunguliwe mashtaka.
2. Ajiudhuru sasa kwa kushindwa kuilinda katiba.
Ahsanteni, tujadili
Unangoja nini? mahakama huzijui? kama hujui namna ya kufunguwa kesi muulize mchungaji Mtikila.
Hivi unaelewa maana ya impeachment ? usikurupuke. Rais ana kinga ni lazima process ianzie bungeni.
Anza basi kumshtaki bungeni au wewe sisi mbunge, hata raia unaweza kupeleka malalamiko yako bungeni, au hujui hilo? kama hujui anza na mbunge wako, hauna mbunge? au anza na chama chako, hauna chama? peleka malalamiko yako unangoja nini?
Unaandikia mate na wino upo! Unanchekesha!
Soma katiba ya nchi uelewe ndio ujibu maswali. Vinginevyo nenda katafute mboga ya mchana waache watu wanaojua wajibu. Unarukia mno mambo usiyoyajua.