Rias wa china alipanga kuongea na wasomi wachuo UDSM. serikali kwa sababu inayojua yenyewe ikaamua kuhamishia mdahalo huo ukumbi wa diamond jubilee na sio nkrumah kama livyokuwa imepangwa. Serilaki ya china ilishagharamia ukarabati wa ukumbi wa nkrumah
Kituko kikubwa ni pale serikali kupitia Uongozi wa chuo ulipoamua kuchagua wanafunzi na walimu wenye mawazo ''mazuri'' kama wawakilishi wa chuo.
Hakuna mtu yeyote kati ya wale wenye uwezo wa kuhoji mambo bali ni wapambe wa serikali tu ndio waliochaguliwa kwenda kuonana na jintao.