Rais jintao atembelea udsm

Rais jintao atembelea udsm

Mpambanaji K

Member
Joined
Dec 29, 2008
Posts
84
Reaction score
6
Rias wa china alipanga kuongea na wasomi wachuo UDSM. serikali kwa sababu inayojua yenyewe ikaamua kuhamishia mdahalo huo ukumbi wa diamond jubilee na sio nkrumah kama livyokuwa imepangwa. Serilaki ya china ilishagharamia ukarabati wa ukumbi wa nkrumah

Kituko kikubwa ni pale serikali kupitia Uongozi wa chuo ulipoamua kuchagua wanafunzi na walimu wenye mawazo ''mazuri'' kama wawakilishi wa chuo.

Hakuna mtu yeyote kati ya wale wenye uwezo wa kuhoji mambo bali ni wapambe wa serikali tu ndio waliochaguliwa kwenda kuonana na jintao.
 
Re: Rais jintao atembelea udsm

Nadhani title ingerekebishwa kidogo, ili ijulikane kuwa hakutembelea UDSM ingawa kulikuwa na mipango atembelee hapo. Anyway, tushukuru walau Nkurumah imekarabatiwa kidogo !!
 
Lakini mkuu mbona heading yako inatofautiana na ulichoandika ndani......iedit iendane na yaliyo ndani mkuu!
 
Rias wa china alipanga kuongea na wasomi wachuo UDSM. serikali kwa sababu inayojua yenyewe ikaamua kuhamishia mdahalo huo ukumbi wa diamond jubilee na sio nkrumah kama livyokuwa imepangwa. Serilaki ya china ilishagharamia ukarabati wa ukumbi wa nkrumah

Kituko kikubwa ni pale serikali kupitia Uongozi wa chuo ulipoamua kuchagua wanafunzi na walimu wenye mawazo ''mazuri'' kama wawakilishi wa chuo.

Hakuna mtu yeyote kati ya wale wenye uwezo wa kuhoji mambo bali ni wapambe wa serikali tu ndio waliochaguliwa kwenda kuonana na jintao.

Inaonekana the meeting ni too ceremonial ngoja hao madogo waliowawakilisha wakale msosi then warudi kuja kusoma. MSiwe na wasiwasi Nyie wengine mtamuona Jintao kwenye TV. Kama kuna issue za kuhoji serikali endeleeni kuzipitisha hapa kwenye forums zitawafikia walengwa bila shida.
 
Back
Top Bottom