JK baada tu ya kutoka US anahimiza wawekezaji wawekeze kwenye KILIMO?? Kuna siri gani hapo?? Je kuna watu amesharobb US. Je kuna wazungu watakuja soon?/ Wapi watawekeza?? Bonde la Kyela?? Bonde la Mbalali?? Ni kweli tumezamilia kilimo. Soko lipo??
Tujiulize.
Ni maoni yangu sina baya kwa RAIS WETU. NAMTAKIA MAFANIKIO KWA HILO.

Hii message sio tu inamzalilisha Rais, bali pia Waziri Mkuu Pinda, ambaye tangu aingie alishasema kitu kikubwa atakachofanya ni kumsaidia Rais kwenye issue ya Kilimo.
Pia unawadhalilisha waandaji na wizara ya kilimo kwa pamoja kwa maana kwamba wote hawa hawakujua kwa nini waliitisha ule mkutano.
Na kuna mengi alishafanya kama wewe ni mfuatiliaji mkubwa. alafu kumbuka mkutano kama hule kwa watu wa serikali utakuwa umeeandaliwa kama miezi sita iliyopita hivi.
Sasa kweli kwa maelezo hayo unathubutu kusema agenda ya kilimo imetoka marekani.
Shindwa na ulegee.
Nadhani tufike mahali tuheshimu ndugu wengine.
Kuna mambo ambayo nadhani ni muhimu Taifa likaweka mbele katika agenda zake za maendeleo, kuanzia sasa. Kati ya mambo hayo kilimo ndio jambo kuu.
Baada ya mtikisiko wa uchumi duaniani (GFC), nchi nyingi za ulaya na marekani zimetambua kuwa Afrika inaweza kuwa mshiriki mkubwa katika kuweka maslahi yao salama zaidi. Imedhihirika hivyo kwa kuwa, waliokuwa wamewekeza Afrika, pesa zao na vitega uchumi vingine vimekuwa salama zaidi kuliko walikuwa wamewekeza ulaya, Asia na Marekani. Hii inatokana na Afrika kutokuwa na misukosuko mingi au harakati nyingi za kiuchumi kulinganisha na nchi zilizoendelea.
Katika wakati huu, nchi itakayowekeza kwenye kilimo ndio itakayonufaika zaidi. Maana dunia nzima inahitaji chakula kutokana na hali mbaya ya hewa na uchumi wa dunia kutikisika. Tanzania ina nafasi muhimu sana katika hili kwa kuwa ina ardhi nzuri na imezungukwa na maji mengi (maziwa, mito na hata bahari) kila upande. Maji Tanzania yako mengi hata chini ya ardhi.
Wawekezaji wengi watajitokeza na kuitaka serikali iwape nafasi ya kuwekeza kwenye kilimo hapa ila kwa masharti ya kumilikishwa ardhi na si kukodisha kutoka serikalini. Hii inaweza ikabadili sheria za ardhi na kuwa mwenye ardhi anaimiliki moja kwa moja (100%). Wawekezaji hutumia upungufu huu kukwepa kuwekeza nchini, na serikali haitaweza kuacha hali hiyo iendelee kwa muda mrefu. Pressure ni kubwa sana.
Kwa mtazamo wangu, mwekezaji yeyote mwenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo hapa nchini ni vyema akapewa nafasi ya kufanya hivyo bila kujali ametoka wapi na soko lake liko wapi. Ili mradi tu analipa kodi zinazotakiwa na uzalishaji wake unaipa nchi tija bila kuvunja uhuru wa mTanzania (bila kutufanya watumwa).
Inabidi waTanzania waanze kuamka sasa na kuona umuhimu wa ardhi. Nakumbuka alipokuwa anawasilisha bajeti ya wizara yake ya mwisho mwaka 2005, Keenja alisisitiza sana hili hasa akijua kuwa wawekezaji wanatamani kuja nchini kuwekeza kwenye kilimo na serikali imeanza kufikiria kuwakaribisha. Wakija wawekezaji hao, watachukua ardhi kubwa sana, hivyo kuna hatari kuwa baadhi ya watu wakakosa ardhi baada ya miaka kadhaa. Inabidi kuwa aggressive sana kujitwalia ardhi mapema.

umezungumza ya kwamba wawekezaji wana-demand 100% unadhani ni kwa nini? ndio hue elewa wenzako si wajinga wana fikiria mbele na tayari wameshajifunza na makosi ya nyuma investment only people can change their mind anytime. why not let the Africans work on their farms and they could come as buyers of the final produce at the Market Price. no awawezi kukubali hilo kwa sababu nia ni kutudidimiza mwelewe mzungu afikirii leo, ana fikiria kesho ndio maana yupo alipo, always ahead of you anajua iko siku atakuwa mzee, atafariki yeye lakini watu still watahitaji kula kwao. sasa nasisi iko siku tutaelimika tutakuwa wengi naa tutahitaji chakula kingi zaidi kwa hivyo hayo mashamba tutayataka alafu itakuaje. we need to think like he thinks to play his game. si kweli kwamba wana akili za kutushinda wana system ya long term na kufikiria before they jump into things therefore always learning from their mistakes. sitaki kurudia ya Zimbabwe.
yes at the moment a long term lease is only they should get but never 100% control huo utakuwa ni upuuzi utakao watesa wanetu.
Mungu Ibariki Tanznania
Felister,Kwakuongezea si kwamba wawekezaji wangekataa kuwa na partnership ambapo wao watakuja na technology sisi tuka contribute land and human resources tatizo ni katika ku bagain sisi hatuelezi haja zetu sawasawa na hii weakness ni advantage kwao. Wao wana propose then ni juu yetu kubagain on terms lakini tatizo is either wale wanaofahamu hilo wanachukua hiyo advantage at their own benefits na kusahau kuwa hiyo ni advantage kwa wenzetu na ni cost kwa society yetu or they realy dont know what to do. Mwisho wa siku kwakua welfare inagusa watu wengi na development ni integration in total kama shule zetu ni mbovu, barabara ni mbovu, drainage system mbovu, population increase kubwa mijini hizo kero hazitawapata wao (wawekezaji for they just come for a while) ila wale waliomua kufaidika hiyo income watakayoipata haiwezi kusolve general problems zilizopo so wote tuna kuwa worse off na zaidi tension ikizidi ndo mambo ya struggle for power na competition inapokuwa kubwa the strongest survive and the weakest r eliminated according to the law; although in reality the weak ndo wanaamua kujilipua kwasababu kufa na kupona zote ni sawa hana matumaini tena ya maisha. This is the long term effect ya kuexclude majority kwenye development.
Kwakuongezea si kwamba wawekezaji wangekataa kuwa na partnership ambapo wao watakuja na technology sisi tuka contribute land and human resources tatizo ni katika ku bagain sisi hatuelezi haja zetu sawasawa na hii weakness ni advantage kwao. Wao wana propose then ni juu yetu kubagain on terms lakini tatizo is either wale wanaofahamu hilo wanachukua hiyo advantage at their own benefits na kusahau kuwa hiyo ni advantage kwa wenzetu na ni cost kwa society yetu or they realy dont know what to do. Mwisho wa siku kwakua welfare inagusa watu wengi na development ni integration in total kama shule zetu ni mbovu, barabara ni mbovu, drainage system mbovu, population increase kubwa mijini hizo kero hazitawapata wao (wawekezaji for they just come for a while) ila wale waliomua kufaidika hiyo income watakayoipata haiwezi kusolve general problems zilizopo so wote tuna kuwa worse off na zaidi tension ikizidi ndo mambo ya struggle for power na competition inapokuwa kubwa the strongest survive and the weakest r eliminated according to the law; although in reality the weak ndo wanaamua kujilipua kwasababu kufa na kupona zote ni sawa hana matumaini tena ya maisha. This is the long term effect ya kuexclude majority kwenye development.
Felister,
Hakuna nchi yeyote katika dunia ya tatu au ya pili ambayo imeendelea kwa kutegemea wawekezaji peke yake. India ilipitia green revolution lakini walichofanya ni kuleta utaalamu wa teknolojia kutoka nje. Hicho tunaweza.
Leo hii mwaka 2009 hatumhitaji Kaburu, Mmarekani, Mwingereza kuja kuchukua ardhi yetu kulima eti ni mwekezaji. Tunachohitaji ni utaalamu utakaomwezesha yule anayelima mpunga Kyela kuongeza zalisho lake kwa mwaka. Na kama ni soko la mpunga limejaa tele. Hatuhitaji kutafuta soko nje. Kuna Zimbabwe, Malawi, Kenya, hawa watanunua mazalisho yetu ya ziada. Siri ni kumwezesha mkulima wa Tanzania apanue uzalishaji wake na serikali ihakikishe mpunga wake hauozei shambani au kijijini. Shida ya viongozi wetu hivi leo ni kutafuta 10% ya rahisi lakini hawaoni kuwa wanauza nchi. Thailand wanazalisha mchele wao wenyewe kwa kutumia teknolojia ya kisasa sikusikia wanaita watu waje wawalimie. Hali yao inafanana sana na yetu Tanzania. Joto lile lile, mvua zile zile, n.k
Felister,
Mkuu sikuelewi unaposema:-
Nachosema ni comperative advantages in trade kuzingatia siasa ya dunia kwa sasa. Wazungu wantechnology ya juu kwenye kilimo kuliko sisi. Kuwekeza sisi kwenye technology ambayo tayari ipo ni hasara kiuchumi lakini kama tutafanya trade na wale wenye technology na sisi kwakua wao ktk mazingira ya WTO conditions plus other internal constraints hawataweza kuendelea na kilimo kama walivyokuwa mwanzo then hii ni advantage kwetu sisi na kwao pia kama tuta amua kutrade on these basis utility ya kwetu na ya kwao itakuwa juu kuliko ilivyo sasa.
Nakuomba ufafanue, maanake kilimo cha technologia unayozungumzia hata sikielewi au unazungumzia Biashara na Uchimi kwa ujumla..
Nachoelewa mimi, tatizo kubwa la Watanzania ni Mtaji sio technologia..na ndio maana hao WTO wanaingiza gear zao. Sisi ni wakulima kwa jadi na kilimo ni kipaji chetu toka tuumbwe.. Ndio maana tulichukuliwa Watumwa tukalime Pamba huko Marekani.Na kama sii wakulima wa mazao ni wavuvi au wafugaji wa jadi...yote haya yanaangukia ktk Kilimo kwa mapana yake.
Kinachohitajika ni wataalam wa biashara.. Sii ktk uzalishaji wa kilimo kwani Tanzania tunao wengi sana, Kati ya graduate 100 wakati wa mwalimu 80 walikuwa upande wa kilimo.. hawa hatukuwatumia ipaswavyo na leo hii ni kizazi kinachoondoka (Baby boomers)..
Inawezekana sana sisi kuyatumia mashirika ya usambazaji duniani kuingia nchini na kujenga viwanda vyao..Shirika kama la Tilda, hawawezi kuja jenga kiwanda cha Mchele wa Pishori ikiwa wakulima wetu hawalimi Pishori..Wakulima wetu hawawezi kupanda Pishori kwa sababu hawana mbegu, hawana uwezo wa kuagiza magunia elfu ya mbegu toka Pakistan au India wala hawafahamu kwamba mbegu hizo zinapatikana huko na mbolea gani gani inafaa...Ukitazama mazao yote utakuta wananchi wana uwezo, ujuzi na nguvu ya kuzalisha isipokuwa system ndiyo inawaangusha... Kilimo sii kipaumbele cha maendeleo ya Mtanzania.
Nakumbuka wakati wa Mkoloni na miaka 10 ya mwanzo wa Uhuru Tanzania tulikuwa ktk ramani ya uzalishaji wa mazao mengi sana..Mashamba yote hayakuwa ya wazungu wala wawekezaji toka nje isipokuwa mipango bora ma msisitizo ktk kilimo ilifanyika toka shambani hadi kuingia sokoni.. sii leo kila mkulima anajitegemea hata kutafuta mbolea au maji shambani acha kutafuta soko na usafiri yota haya ni magumu kwa mkulima maskini...
Nyie wasomi wenye nguvu serikalini ndio kazi mnayotakiwa kuifanya badala ya kutafuta mwekezaji toka marekani ambaye anaingia nchini na mtaji wa mkopo, kisha anawatumia wakulima wetu hawa hawa kama wafanyakazi.
Kesho mtataka kudai ardhi yenu kama Zimbabwe na rais atakayefuata madai yenu ataonekana kuwa ni Mugabe.. Historia itasahau kabisa yaliyopita na mikataba iliyomwekwa sasa hivi..