Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,903 Reaction score 1,360 Mar 24, 2021 #101 qwest said: Sasa Kamala atakuwa kama Bi Suluhu? Click to expand... Vinafanana na huku; kumbuka wakati wa JF Kenned (makamu alikuwa Lyndon B. Johnson) na Richard Nixon (Makamu alikuwa Gerald Ford)
qwest said: Sasa Kamala atakuwa kama Bi Suluhu? Click to expand... Vinafanana na huku; kumbuka wakati wa JF Kenned (makamu alikuwa Lyndon B. Johnson) na Richard Nixon (Makamu alikuwa Gerald Ford)
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Mar 24, 2021 #102 Wamarekani watamkumbukaa trump.huyu wa sasa amekuja kuwadidimiza.
justuce John JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 207 Reaction score 222 Mar 24, 2021 #103 Nimeona, ila kapata bahati yakuiongoza Marekani kwasababu yaujinga wa Trump.