Rais Joe Biden apinga kuomba radhi baada ya kutoa kauli ya kutatanisha kumuhusu Rais Vladimir Putin

Russia hainuki tena
Unafahamu alipoulizwa na mwandishi wa habari kuhusu kauli yake aliyoitoa inayosema:Ikiwa Russia itatumia silaha za kemikali America itafanya hivyo kwa Russia kwenye huu mgogoro wa Ukraine.

Kauli yake nyengine anatoa hotuba kwa wanajeshi wa US waliyopo Poland ya kuashiria kuwa US atapeleka majeshi Ukraine.

Kauli nyengine iliyozua utata mkubwa zaidi hadi kwa raia wa US ni kuuondoa utawala wa Putin.

Maswali yote 3 yakakusanywa na kuulizwa na mwandishi wa habari Biden yote kakataa hakuzungumza hivyo!

Agalia Fox News Tucker amelizungumzia hili: Video ina dakika 17:19. Angalia kuanzia dakika ya 14:50 mwandishi wa habari anauliza hayo Biden kakataa kuwa hajazungumza yeye....

Ikikupendeza kuangali andika: Tucker- Biden can't regulate his emotions
 
Naamini hujui kiingereza, Biden amejibu mara ya pili baada ya kutofahamika ile ya mara ya kwamba kwamba: Hajabadilisha kauli yake ingawa hajamaanisha kwamba Marekani ina mikakati ya kumuondoa Putini madarakani lakini akaongezea zaidi kwamba, mtu mbaya haifai kuendelea na kuachiwa aendelee kufanya mabaya"

Ni hivyo tu., sas izo kauli zako tatu tatu utajisahihisha mwenyeo
 
Sawa sijui Kingereza lakini umeitazama hiyo video? Maelezo unayoyatoa hapa ni tofauti na yaliyo kwenye hiyo video.

Ndiyo maana nikakuwekea dakika na sekunde yake ili ufahamu ninachokizungumzia.

Kuna kauli ya kwanza aliukizwa na mwandishi wa habari wa kike ndiyo hiyo iliyobeba kichwa cha habari cha huu Uzi. Kuna kauli nyengine ameitoa na ndiyo hiyo ambayo naizungumzia.

Na maadamu unajua lugha ya Kiingereza kwa ufasaha zaidi, haina shaka utaielewa kwa mapana zaidi.
 
Biden anaweza kuuawa na CIA ili Kuepusha vita vya nuclear. Anaonekana uzee unamuendea vibaya
Anything could happen maana hata jeff kennedy kifo chake kuna conspirancy za CIA nyuma yake
 
Nimekusoma, niliipitia taarifa juu kwa juu kwa haraka ili niweze kujibu kilichopo kwenye meza.

Nimeipitia tena. Hilo nakiri sikuwa makini. Ahsante kwa kunisahihisha.
 
Biden anaweza kuuawa na CIA ili Kuepusha vita vya nuclear. Anaonekana uzee unamuendea vibaya
be carefully ., biden ndio kiongozi ambaye wamarekani wanajivunia., ni strong sana na hili na russia anali-handle vizuri sana., tumpe muda russia avune kile alichokitaka kwa taifa lake
 
Watu wanataka babu akapumzike tu.........anawaharibia mambo........uchaguzi ujao kama akifika kazi anayo
 
Wafe tuu bora ulaya kuna vita nako tena sanaa yanii
 
be carefully ., biden ndio kiongozi ambaye wamarekani wanajivunia., ni strong sana na hili na russia anali-handle vizuri sana., tumpe muda russia avune kile alichokitaka kwa taifa lake

Haya maneno yameanza kabla ya ukrein kuwa jangwa[emoji16][emoji16]
 
Nina uhakika angekuwepo raisi aliyepita wa marekani trump angeingia vitani UKRAINE mzima mzima bila NATO yule ndo angeiharibu Usa kiukweli wananchi wa USA walifanya la maana kumuondoa trump madarakani
Putin alikuwa anamuogopa Trump
 
Putin mgomvi sana

Toka tukiwa nursery aliwahi iba penseli za darasa zima

Jamaa kila asubuhi tulkua tunampelekea vitumbua

Ugomvi wake na zeleznsky ni mambo ya mademu tu kuna kidemu kinaitwa Rose wanakigombea toka la tano
Duh bila Shaka alikua anakula vitumbua vyenu bila kuwachubua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…