Rais Joe Biden asaini Mswada wa Bilioni 700$ kuboresha Afya, Kodi na Tabia Nchi

Rais Joe Biden asaini Mswada wa Bilioni 700$ kuboresha Afya, Kodi na Tabia Nchi

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini mswada wa Dola Bilioni 700 ambao unalenga kupambana na Mabadiliko ya #TabiaNchi na gharama za #Afya huku akipandisha kodi kwa matajiri.

Sheria hiyo inajumuisha utekelezaji wa ahadi za miaka kadhaa za Bunge ili kupunguza Bei ya Dawa zinazoagizwa na madaktari.

Muswada huo ambao ni ajenda ya Biden, unaweza kutoa picha ya Uchaguzi wa mwezi Novemba utakaomua iwapo Chama cha Democrats kitaendelea kudhibiti Bunge la Congress.

==========

US President Joe Biden has signed a $700bn (£579bn) bill that aims to fight climate change and healthcare costs while raising taxes mainly on the rich.

The act includes measures to make good on decades of congressional promises to curb the price of prescription drugs.

The final version is more modest in scope than the $3.5tn package first envisaged by Democrats.

A flagship of Mr Biden's agenda, the bill could provide a boost ahead of the mid-term elections.

Voters casting their ballots in November will decide whether Mr Biden's Democrats retain control of Congress for two more years.

The president hailed the bill as he signed it on Tuesday as the "final piece" of his domestic agenda.

The package invests $375bn to fight climate change - the most significant federal investment in history in the issue.

An analysis by scientists with the Climate Action Tracker says the bill will reduce future global warming by "not a lot, but not insignificantly either".

It is projected to lower US emissions by up to 44% by 2030, compared with the current US trajectory, which would lower emissions by up to 35%, according to an analysis by the Rhodium Group, a consultancy.

Source: BBC
 
Hawa wenzetu wako mbali sana. Na huu ni ukweli mchungu aisee yaani hii hela ni budget ya nchi kama Russia mwaka mzima. Jamaa wako mbali sana
 
Budget ya Russia haifiki hiyo hela Mkuu,$700 billion ni karibu na Nusu ya GDP nzima ya Russia.
Ndo hapo ujue USA ni babalao aisee. Halafu hapo ndo Russia ashindane na huyu mwamba. Nimegoogle nikakuta ni budget ya miaka miwili ya Russia
 
Ndo hapo ujue USA ni babalao aisee. Halafu hapo ndo Russia ashindane na huyu mwamba. Nimegoogle nikakuta ni budget ya miaka miwili ya Russia

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Russia kiuchumi ni utopolo tu kwa US baada ya vikwazo now amekosa baadhi ya parts za magar ya kirusi yanaitwa lada now yanatengenezwa yakiwa hayana air bag, anti braking system n.k. Fikiri hayo magari ya lada yalivyo na sura mbaya then yasiwe na hivyo vitu na vingine.

Halafu kibaya mchina kumuuzia kagoma maana alishapigwa mkwara na US kuwa akimuuzia tu na yeye hatokuwa salama!

Ndo maana china hapendi shida na US. China hasira zake huishia kwenye maneno na wanajeshi kukata mauno kama tiara baharini baada ya hapo basi humsikii maana anaujua mziki wa US na nduguze hawez uhimili hata kidogo.
 
Hizi kodi wangeongezewa matajiri wa Tanzania Raisi angepewa maneno ya dhihaka ya kila rangi ila kwa vle marekani wanasifiwa humu jukwaani na wale wale ambao wangepinga hapa nyumbani

Juzi juzi hapa TRA ya marekani imetoa tangazo la kutafuta watu wanaoweza hata kuua ili kukusanya kodi
Ingeandikwa hvyo na TRA yetu hapa TZ watu wangetoa povu hadi kuwalilia marekani,uingereza n.k waikemee serikali coz inakiuka haki za binadamu

Afrika ujinga upo kwa kiwango kikubwa sana na ndio adui mkubwa na mbaya zaidi kuna wanaougua upumbavu ugonjwa ambao hautibiki

Kuna watu likifanyika marekani au urusi ni zuri ila likifanywa na viongozi wetu hapa Tanzania wanaliona ni baya
Huu ni unafiki wa kiwango kikubwa sana.
 
Russia kiuchumi ni utopolo tu kwa US baada ya vikwazo now amekosa baadhi ya parts za magar ya kirusi yanaitwa lada now yanatengenezwa yakiwa hayana air bag, anti braking system n.k. Fikiri hayo magari ya lada yalivyo na sura mbaya then yasiwe na hivyo vitu na vingine. Halaf kibaya mchina kumuuzia kagoma maana alishapigwa mkwara na US kuwa akimuuzia tu na yeye hatokuwa salama! Ndo maana china hapendi shida na US. China hasira zake huishia kwenye maneno na wanajeshi kukata mauno kama tiara baharini baada ya hapo basi humsikii maana anaujua mziki wa US na nduguze hawez uhimili hata kidogo.
Lakini humu pro Russia watakuambia Russia uchumi ndo umeimarika sana na anapata hela nyingi sana. Bahat mbaya habari ya kinachoendelea huko Russia hatukijui. Make Putin anatoa taarifa zinazompendeza yeye tu kama alivyokua mwendazake
 
Hawa wenzetu wako mbali sana. Na huu ni ukweli mchungu aisee yaani hii hela ni budget ya nchi kama Russia mwaka mzima. Jamaa wako mbali sana
... Chief, katika nchi zooote duniani umeamua kuichomoa Russia kama mfano una lako jambo! By the way, uchumi wa Jimbo la Texas (jimbo la tatu kwa uchumi mkubwa Marekani baada ya California na New York) ni mkubwa kuliko nchi ya Russia.
 
Huku Russia deni lake lote likiwa Ni $472.8 billion Vs USA yenye Deni la $30.6 trillion

Tajiri wa Madeni.
Acha na vilaza awa katika nchi yenye deni dogo ni Rusia ata dollar bilion500 hazifiki Ila wwanavyotoa kelele sasa
 
Acha na vilaza awa katika nchi yenye deni dogo ni Rusia ata dollar bilion500 hazifiki Ila wwanavyotoa kelele sasa
Hahaha kweli kabisa mkuu,hapo bado hatujaenda kwny Debt to GDP ratio ya Russia vs USA [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Russia kiuchumi ni utopolo tu kwa US baada ya vikwazo now amekosa baadhi ya parts za magar ya kirusi yanaitwa lada now yanatengenezwa yakiwa hayana air bag, anti braking system n.k. Fikiri hayo magari ya lada yalivyo na sura mbaya then yasiwe na hivyo vitu na vingine. Halaf kibaya mchina kumuuzia kagoma maana alishapigwa mkwara na US kuwa akimuuzia tu na yeye hatokuwa salama! Ndo maana china hapendi shida na US. China hasira zake huishia kwenye maneno na wanajeshi kukata mauno kama tiara baharini baada ya hapo basi humsikii maana anaujua mziki wa US na nduguze hawez uhimili hata kidogo.

Russia ashindwe kutengeneza airbag kuweni na akili bhs[emoji23][emoji23]. Hivyo hivyo US anahaha kwenda anga za mbali, rocket za engines alikua anategemea Russia. Kama hujui US anategemea vingi kutoka Russia ila kwakua kawashika masikio hamuwezi jua.
 
Back
Top Bottom