Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea Urusi.

Amesema: "Siwezi kusema wazi moja kwa moja kuhusu ushiriki wa Urusi hadi uchunguzi ukamilike.”

Urusi yenyewe imekanusha vikali kuhusika na mlipuko huo, huku Wizara yake ya Ulinzi ikisema madai hayo ni sehemu ya uchochezi dhidi ya Nchi yao.


------

Unlikely that missile was fired from Russia - Biden

We're now hearing from US President Joe Biden, who says it is "unlikely" that the missile responsible for killing two people in Poland was fired from Russia.

He says there is "preliminary information that contests" whether the incident in Poland was due to a missile fired from Russia.

"I don't want to say that until we completely investigate, but it's unlikely in the minds of the trajectory that it was fired from Russia, but we'll see."

Biden says that world leaders will determine the next steps after finding out what happened - following investigations taking place in Poland.

Source: BBC
 
... katumia diplomatic language; ukimsoma between the lines, hapana shaka kombora limetoka moja kwa moja Moscow.
 
Putin ni janga la dunia na dunia ikiendelea kumchekea Putin atakuja kuifanyia dunia kitu ambacho dunia haitakuja ikae isahau.
Hakuna nchi itaifanya dunia kitu kibaya zaid ya marekan na ubaya iliofikia kwa dunia mpaka sasa. Bas tu ni umeamua kutofikiria nje ya kuta nne!
Urusi iko katika kujipambania maana wengi wameshanyooshwa na marekan.
SAY NO TO UNIPOLARITY!
 
Crap
USA hataki vita na Russia na ndio maana wanaitoa Russia kwenye uhusika...
Mimi nahisi ni comedian beggar amefanya hilo tukio kama false flag baada ya kichapo cha juzi.
 
pro russia tupo tumbo joto balaa. yarabi tunusuru. ukraine anatuhenyesha wakiingia nato si ndo itakua balaa sasa.
baba tuepishe na kikombe hiki sisi waja wako.
kupigana na NATO hatutaweza.
siriaz

Ila we jamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…