Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika

Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika

Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea Urusi.

Amesema: "Siwezi kusema wazi moja kwa moja kuhusu ushiriki wa Urusi hadi uchunguzi ukamilike.”

Urusi yenyewe imekanusha vikali kuhusika na mlipuko huo, huku Wizara yake ya Ulinzi ikisema madai hayo ni sehemu ya uchochezi dhidi ya Nchi yao.

------

Unlikely that missile was fired from Russia - Biden

We're now hearing from US President Joe Biden, who says it is "unlikely" that the missile responsible for killing two people in Poland was fired from Russia.

He says there is "preliminary information that contests" whether the incident in Poland was due to a missile fired from Russia.

"I don't want to say that until we completely investigate, but it's unlikely in the minds of the trajectory that it was fired from Russia, but we'll see."

Biden says that world leaders will determine the next steps after finding out what happened - following investigations taking place in Poland.

Source: BBC
Ukraine kamtungua jirani yake katika harakati za kutungua makombora ya mrusi
 
Zelensky..ni mtu hatari mno....

Historia itakuja kumuandika...anachofanya kwa sasa ni kushawishi direct war NATO vs RUSSIA ambayo balaa lake kila mtu atajuta duniani..
Kuna vi inchi vinalipuka kwamba article 4 ya NATO itumike...

Maswali ya kujiuliza:
1: kwa nini blast itokee ktk Poland border?
2: nani anajua kama siyo zelensky au mwingineyo kasababisha hiyo blasts ili kutengeneza sababu
3: what if ktk hiyo border ya POLAND inatumika kuficha zana na wakijua ni ardhi ya NATO na haitashambuliwa.
4..........
5... ......

Yote kwa yote,. Naona kama ZELENSKY anatumika....
Huyu jamaa ni Myahudi...na tunajua nature za wayahudi inapokuja suala la uhai na mustakabali wa Dunia...
 
Putin ni janga la dunia na dunia ikiendelea kumchekea Putin atakuja kuifanyia dunia kitu ambacho dunia haitakuja ikae isahau.
Putin sio janga la dunia ila russia ndo janga la dunia hata km putin afe leo usidhan kama russia itaacha kuismbulia Ukraine .

janga la dunia ni Nato na UN
 
Ukraine ndo walirusha kombora la kudungulia makombora
 
West huwa hawakurupuki wanatulia Kwanza wanakusnya ushaidi ili Russia ikipigwa wasianze kulalamika Acha tusubiri tuone Hali itakuaje.
Naona PUTIN anazidi KUCHUNGULIA KABURI LAKE
 
pro russia tupo tumbo joto balaa. yarabi tunusuru. ukraine anatuhenyesha wakiingia nato si ndo itakua balaa sasa.
baba tuepishe na kikombe hiki sisi waja wako.
kupigana na NATO hatutaweza.
siriaz
Jidanganye
 
NATO waoga kwa Russia,mnategemea Russia atakubali ni yeye aliyepiga.....Iran mwenyewe anaulizwa kuhusu kamikaze anajibu sijui zilifikaje Russia...
 
Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea Urusi.

Amesema: "Siwezi kusema wazi moja kwa moja kuhusu ushiriki wa Urusi hadi uchunguzi ukamilike.”

Urusi yenyewe imekanusha vikali kuhusika na mlipuko huo, huku Wizara yake ya Ulinzi ikisema madai hayo ni sehemu ya uchochezi dhidi ya Nchi yao.

------

Unlikely that missile was fired from Russia - Biden

We're now hearing from US President Joe Biden, who says it is "unlikely" that the missile responsible for killing two people in Poland was fired from Russia.

He says there is "preliminary information that contests" whether the incident in Poland was due to a missile fired from Russia.

"I don't want to say that until we completely investigate, but it's unlikely in the minds of the trajectory that it was fired from Russia, but we'll see."

Biden says that world leaders will determine the next steps after finding out what happened - following investigations taking place in Poland.

Source: BBC
Yani Marekani akishakulebel vibaya, hata wakikuta mavi mwezini atasema ni wewe umekunya.
 
pro russia tupo tumbo joto balaa. yarabi tunusuru. ukraine anatuhenyesha wakiingia nato si ndo itakua balaa sasa.
baba tuepishe na kikombe hiki sisi waja wako.
kupigana na NATO hatutaweza.
siriaz
Alisikika Mwanamgambo wa Ukraine baada ya kuchomwa mshale wa kota
 
Marekani kwa propaganda ni noma. Huenda wao ndio wamepiga Poland 🇵🇱
Hapa umenifurahisha , mimi si Pro Russia lakin naamin katika Super powers.

Haya mataifa makubwa yapo kama 5 wana mengi sana nyuma ya Pazia.

Nishasikia Conspiracy ya Kiduku kutumika na CIA na analipwa parefu ili kuleta tension Penisula. Ili us apate dili za ulinzi .

US, Russia, EU(Uk,German,France+) na sasa China ni hatari sana hizi Taifa.
 
West huwa hawakurupuki wanatulia Kwanza wanakusnya ushaidi ili Russia ikipigwa wasianze kulalamika Acha tusubiri tuone Hali itakuaje.
Naona PUTIN anazidi KUCHUNGULIA KABURI LAKE

Umekaa unasubiria Russia kufutwa.

Sahau kuhusu US , Russia , China na EU brothers kufutwa. Sahau
 
Back
Top Bottom