Kibaya cha jitembeza kizuri chajiuza kama Magufuli angekuwa mzuri hivyo usinge tumia mda wote huo kumsifia. angekuwa anasifiwa na wakulima wa korosho,pamba, mbazi, kahawa, mahindi na wafanyakazi na wasio nakazi. laikini leo wanao msifia ni watu kama wewe mnao tafuta chochote.