Rais Kabila amempa kila mchezaji gari aina ya Toyota yenye thamani ya dola 60,00

Rais Kabila amempa kila mchezaji gari aina ya Toyota yenye thamani ya dola 60,00

Naona tunazidi kujidhalilisha tu kwa gari Kama Hilo serikali ya Tanzania inauziwa kwa 250million Na DT Dobie au mzabuni yoyote Yule aliyeshinda Tenda Hiyo ingawa gari za serikali hazilipiwi kodi hiyo bei sijui wanitoa wapi?!!!! Hii sheria ya manunuzi ni JIPU lingine kubwa kama kitambi cha Mzee Wasira

Mkuu akiamua kukusogeza mbele kukutaka umsafishe jina utakuwa nao ubavu au utaishia tu kusema nilikuwa siyajui mwanachama mwenzangu. Muwe mnazijua na sheria zinazohusu mitandao ya kijamii.
 
Naona tunazidi kujidhalilisha tu kwa gari Kama Hilo serikali ya Tanzania inauziwa kwa 250million Na DT Dobie au mzabuni yoyote Yule aliyeshinda Tenda Hiyo ingawa gari za serikali hazilipiwi kodi hiyo bei sijui wanitoa wapi?!!!! Hii sheria ya manunuzi ni JIPU lingine kubwa kama kitambi cha Mzee Wasira

Hizo ni prado ambazo hata huku pamoja na ushuru ya mwaka 2015 ndio unapata bei hiyo maana cif zake hata sbt unapata kwa Dola elf 38
 
rais wa DRC Congo amewazawadia gari za kifahari zenye thamani ya dola za kimarekani 60,000 baada ya kushinda kombe la Africa kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN)
chanzo BBC
 
Dah sijui ingekuaje kama wangefanikiwa kutwaa AFCON.
 
Safi sana Kabila, lakini uwakumbuke pia Wakongo wanaoishi kwenye umasikini wa kutupwa.
 
Rais Kabila amemzawadia kila mchezaji wa timu ya taifa ya Congo (the Leopards) gari jipya aina ya Toyota Land Cruiser Prado baada ya kuichapa Mali goli tatu bila na kunyakua kombe la CHAN mjini Kigali Rwanda.Kikosi hiki kinanolewa na coach mkongoman Florent Ibenge na nahodha Joel Kimwaki.
images

Ca2Eg5KXIAA_Jaq.jpg

Ca20q_kUYAI40so.jpg

images

Kocha Florent Ibenge
 
Huo ndio Moyo wa kizalendo kwa mashujaa kama hawa, tz bado tuna safari ndefu ktk soka
 
huyu jamaa si ndio aliahirisha uchaguzi kisa eti hakuna fedha??????? dah Africa bana full matatizo
 
Hii ndoo Africa na viongozi wake!!!! DRC juzi Pm alisema serikali haina hela ya uchaguz, sasa cjui hizo zimetoka wapi!!!!
 
Kabila huyu si ndiye anadai nchi haina fedha ya kufanya UCHAGUZI au mwingine ?! Anyway hongera yake na tunalakujifunza kwao

Huyu nae siku zake zimekaribia kukimbia nchi kwani rafiki yake DHAIFU kamfunza wizi!! Siku si nyingi mtamuona nyumbani kwake Mbezi Beach.!!! Anasema hana hela ya kufanyia uchaguzi ili aendelee kutawala huku anamwaga faranga kuwanunulia magari wacheza mpira!
 
Angetoa dawa ungeuliza, sasa dawa zinamsaidiaje mchezaji mmoja mmoja? Binadamu hakuna jema kwenu
Haaa haaa nimecheka sana mkuu,na angewapokea kama JPM alivyompokea Samatha lawama zingemwagika kua viongozi wa Afrika hawathamini michezo kweli hatuna jema.
 
Back
Top Bottom