geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 646
Naona tunazidi kujidhalilisha tu kwa gari Kama Hilo serikali ya Tanzania inauziwa kwa 250million Na DT Dobie au mzabuni yoyote Yule aliyeshinda Tenda Hiyo ingawa gari za serikali hazilipiwi kodi hiyo bei sijui wanitoa wapi?!!!! Hii sheria ya manunuzi ni JIPU lingine kubwa kama kitambi cha Mzee Wasira

Kabila huyu si ndiye anadai nchi haina fedha ya kufanya UCHAGUZI au mwingine ?! Anyway hongera yake na tunalakujifunza kwao
Haaa haaa nimecheka sana mkuu,na angewapokea kama JPM alivyompokea Samatha lawama zingemwagika kua viongozi wa Afrika hawathamini michezo kweli hatuna jema.Angetoa dawa ungeuliza, sasa dawa zinamsaidiaje mchezaji mmoja mmoja? Binadamu hakuna jema kwenu