Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

Haya ni maajabu ya mwaka mmoja wa Mama,

Vipi akimaliza kumi?
 
Tanzania kuifananisha na Rwanda kwa vyovyote vile, ni kutuvunjia heshima, na nidharau na kejeli kwa CCM chama tawala toka tupate Uhuru.
Nilitaka kuandika hivi hivi; kwamba eti Rwanda??? Sisi tulinganishwe na Rwanda kwa kipi? Wakazi wake wengi wanaogopa hata kutumia umeme ndio tulinganishwe nao?? Sisi tulinganishwe labda na Kenya, Zambia sio Rwanda na Burundi, hivyo vinchi ni kama Zanzibar tu
 
Mpumbavu mmoja kaandika "leo safari 9 tu" wakati zimekwishapita hizo tisa.
Akili za vilaza hufungua uzi muendelezo kwa kichw cha habari cha leo,bila kufikiri kesho mtu akisoma kichwa cha habari tu itakuwaje. Halafu huyu eti naye ni muandishi wa habari,tena msemaji wa serikali.
 
Haya mbona hukuyasema kipindi Cha mwenda zake?
 
Mama WA kimataifa
 
Tanzania washamba wengi ujue
 
Samia ana akili ya kibiashara, sio rahisi kuiona kama mtu anayo mawazo ya kinoko, yale ya kishamba. Mtu mwenye mawazo madogo ndio ataangalia pesa ya msafara ya kwenda na kurudi lakini mwenye mawazo mapana atafungua ubongo wake kwa kina na kuangalia maana pana ya uwekezaji unaoendelea nchini.
 
[/QUOTE]
[/QUOTE]
Rwanda ni ndogo kwa eneo kuliko Tanzania lakini inaongozwa na mtu mwenye uwezo wa kuiendesha Tanzania yetu tena kwa tija.

Ukubwa wa nch sio lolote kama akili zetu zimeganda, tuna mawazo yale yale yasiyopanuka na kutusaidia.
 
Mama Chapa kazi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…