mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Rais wa Rwanda Pul Kagame amewafukuza kazi wanajeshi kwa kutia saini miongoni mwao akiwemo Meja Jenerali Martin Nzaramba, Kanali DKT Atienne Uwimana na maafisa wengine 19 ambao hawakutajwa majina yao kwasababu ambazo hazijawekwa wazi .
Hatua hiyo imechukuliwa na Rais Kagame baada ya alhamis ya jana kufanya mkutano na viongozi mbalimbali katika Jeshi la Rwanda kuangazia namna ya kuimarisha usalama wa nchi hiyo.
Ikumbukwe kua mwaka jana Kagame alifanya hivihivi kwa kuwafuta kazi wanajeshi 200 akiwemo Meja Jenerali Aloyce Muganga na maafisa wengine wa usalama wa ngazi za juu katika Jeshi hilo. hadi kufikia sasa haijawekwa wazi sababu za viongozi hao wa usalama kuondolewa.
Soma Pia: Rwanda: Rais Kagame ateua wakuu wapya wa kijeshi na kijasusi