Rais Kagame afukuza wanajeshi 200 pamoja na meja Jenerali Martin Nzaramba

Kagame mjanja sana , hao ndio wanafutwa serikalini na kupelekwa direct kuongeza nguvu kule m23
Na inawezekana ndio wanaendesha program za chini kwa chini nnje ya nchi kimataifa kwaajili ya msalahi mapana ya Nchi yake , kila mtu na muundo wa utawala wake anavyotaka kuiendesha Nchi yake.
 
Ni kweli sio rahisi kuwafukuza ni hatari kwa uslama wa nchi , huyu anacheza na akili za watu .
Sidhani kama hilo linawezekana.

Akili yangu ya ulinzi wa familia inanikatalia..
Hii ni mbinu ya kuwazuga maadui zake ili aweze kuwaingiza mkenge kwa urahisi.
 
anawapeleka m23 hao , huyu jamaa bi genius , anatuchezea muvi ngumu kuelewa wana EAC na tumeshindwa kung'amua na kuelewa
NB : wanajeshi 200 haogopi kuasiwa ?
 
Hawa ndio wanaenda kuipa tabu Congo.

Unahitaji D mbili kuelewa hili.

Hakuna aliefukuzwa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…