Rais Kagame amteua Binti yake kuwa Mkurugenzi wa Baraza la Mikakati

Kama ana uwezo ni jambo jema....yule mtoto wake 'kanali' huenda akaachiwa Urais miaka ijayo.

mtu chake zitto junior T14 Armata imhotep Moronight walker
 
Akifa Kgm nchi inaweza kurudi kule ilikotoka siku za nyuma nilienda Rwnd kwny shughuli zangu na kukaa familia za kihutu na kitutsi,nilichogundua hakuna amani ya kweli bali Kuna utulivu kwani mioyo Yao Ina visasi
 
Madikteta bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…