OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii inchi ngumu sana.Kwa hiyo unampangia PK masharti?
Ajali ya ndege mbatuma rambirambi ila ajali za mabasi zinazoua watu zaidi ya hao hakuna salamu za rambi rambi, sielewi.View attachment 2409156
Serikali haistahili kupokea salamu za rambirambi kwa namna yeyote ile. Licha ya kukumbwa na majanga kama haya lakini serikali imejaa anasa tupu badala ya kufanya maandalizi ya vyombo vya uokozi.
Samia akiwa makamu wa rais serikali iliiwaambia wana Kagera serikali haikuleta tetemeko. Haikutosha serikali ilipokonya rambirambi zetu ikatumia.
Nchi rafiki zielekeze salamu kwa wananchi