Rais Kagame kushiriki Mkutano wa Nishati ya Nyuklia Paris

Rais Kagame kushiriki Mkutano wa Nishati ya Nyuklia Paris

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, anatarajiwa kuhudhuria Mkutano wa Nishati ya Nyuklia utakaofanyika jijini Paris mwezi Machi 2026, mkutano ambao utaandaliwa kwa ushirikiano na International Atomic Energy Agency.

Wakati huo huo, mji mkuu wa Rwanda, Kigali, unaendelea na mipango ya kuanzisha mitambo midogo ya nyuklia (Small Modular Reactors - SMRs), ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuifanya Rwanda kuwa kitovu kinachoongoza barani Afrika katika maendeleo ya matumizi ya nishati ya nyuklia kwa malengo ya kiraia.

1772431167030.png
 
Back
Top Bottom