Rais Kagame kuwafuta kazi wanajeshi 216 Rwanda

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Rais Kagame amewafuta kazi Amiri Jeshi Mkuu, Kanali, na maofisa wa ngazi za juu19 wa jeshi na akivunja mikataba ya maafisa 195 wa ngazi za chini, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) Agosti 30, 2024.

Mabadiliko haya yametokea baada ya kuteuliwa kwa Waziri mpya wa Ulinzi, Juvenal Marizamunda, na Luteni Jenerali Mubarak Muganga kama mkuu wa RDF.

Aidha Serikali ya Rwanda haijatoa maelezo maalum kuhusu sababu za kufutwa kwa maofisa hawa.

================For English Audience==================​

Rwanda’s President Kagame Fires 216 Military Personnel​

The dismissal also comes shortly after the appointment of new Defense Minister Juvenal Marizamunda and Lieutenant-General Mubarak Muganga as the RDF’s head, signaling a significant shift in the military's command structure.
Among those dismissed are Major General Martin Nzaramba and Colonel Etienne Uwimana. This decision follows the recent appointment of new leadership within the RDF, with President Kagame emphasizing discipline and accountability. The move is part of broader efforts to strengthen the military’s effectiveness and align it with the country’s evolving security needs.

President Kagame’s decision to remove these high-ranking officers and other military personnel is seen as a response to internal challenges within the RDF, aimed at addressing issues of indiscipline and ensuring that the military operates under strict ethical standards.

The dismissal also comes shortly after the appointment of new Defense Minister Juvenal Marizamunda and Lieutenant-General Mubarak Muganga as the RDF’s head, signaling a significant shift in the military’s command structure.

The Rwandan government has not provided specific details on the reasons for the dismissal of these officers. However, sources suggest that the move is part of a broader strategy to reform the military and enhance its operational readiness. The changes within the RDF are expected to have far-reaching implications for the country’s defense policies and its approach to regional security challenges.

The dismissed soldiers, including Major General Nzaramba and Colonel Uwimana, have been relieved of their duties and are required to surrender their military equipment.

SOURCE: MEDIA WIRE EXPRESS
 
Anapoelekea sio kuzuru
 
Sec halisi hamaa walipelekwa Congo wamletee madini wakanza kuyapiga bei juu kwa juu

50 perc n wale waaliokuwa congo
 
Mmh! Unaamini amewafukuza?

Huu ni mkakati wa kiboya hata mtoto mdogo ni rahisi kungamua.

Paul Kagame anaweza kabisa, ili kurudisha nidhamu. Dizaini ya watu ambao hawakuingia madarakani kwa bahati mbaya hujiamini ktk maamuzi mazito

Watu waliopambana kupitia vuguvugu refu la uanaharakati au kupigana vita msituni kuchukua nchi kama Julius Nyerere, Yoweri Museveni , Paul Kagame n.k huwa hawana woga kuchukua maamuzi mazito maana walikuwa na visheni kabla ya kuingia Ikulu.
 
RDF spokesperson speaks out on military dismissals​

Maj Gen (Rtd) Martin Nzaramba.

Photo : Maj Gen (Rtd) Martin Nzaramba.

Friday, August 30, 2024

Rwanda Defence Force (RDF) Spokesperson Brig Gen Ronald Rwivanga has said that the dismissal of Maj Gen Martin Nzaramba from the military along with other senior and junior officers was linked to corruption and misconduct.

Nzaramba, a former Commandant of Nasho Basic Military Training Centre, had been retired from the military in August 2023.

“Maj Gen Nzaramba was dismissed for corruption and misappropriation of funds meant for soldiers’ welfare during his service as Commandant of Basic Military Training Centre, Nasho,” Rwivanga said on Friday, August 30.

Nzaramba, who was dismissed along with Col Etienne Uwimana and 19 other senior and junior officers, previously served as Director of Gabiro Gabiro Combat Training Centre based in Gatsibo District.
Until his dismissal, Uwimana worked as a medical doctor at Rwanda Military Hospital where he was in charge of the medical imaging department.

Rwivanga said that Uwimana was “dismissed for gross misconduct and violation of RDF ethics and values.”
The RDF said earlier on Friday that President Paul Kagame, who is the Commander in Chief of the military, had also authorised the dismissal and rescission of contracts of 195 other ranks.

“Other cases of dismissal are also related to corruption and gross misconduct,” Rwivanga noted.
“RDF remains firm in its policy of zero tolerance to corruption, gross indiscipline and misconduct,” he added
 
Kama walikuwa wanapanga uhuni mtasikia vifo vya ajabu ajabu, msiposikia vifo ujue wamepewa kazi maalumu, hata M23 huko.
 
Paul Kagame anaweza kabisa, ili kurudisha nidhamu. Dizaini ya watu ambao hawakuingia madarakani kwa bahati mbaya hujiamini ktk maamuzi mazito

Watu waliopambana kupitia vuguvugu refu la uanaharakati au kupigana vita msituni kuchukua nchi kama Julius Nyerere, Yoweri Museveni , Paul Kagame n.k huwa hawana woga kuchukua maamuzi mazito maana walikuwa na visheni kabla ya kuingia Ikulu.
Hao wanaenda kwenye mission(m23) hata siku wakikamatwa aweze kujitetea alishawafukuza kazi, idadi kama hiyo kuwakuza si wanaweza wakamuasi
 
Kwa thread hizi; seems vita vya Israel na mahasimu wake ni kama vimeisha; more precisely, vimetulia.
 
Back
Top Bottom