mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
uko smart kuongea haya ni wazi hao anawahamishia kwa waasi wa M23. Unless na wewe ni mnyarwanda unataka kufichafichaPaul Kagame anaweza kabisa, ili kurudisha nidhamu. Dizaini ya watu ambao hawakuingia madarakani kwa bahati mbaya hujiamini ktk maamuzi mazito
Watu waliopambana kupitia vuguvugu refu la uanaharakati au kupigana vita msituni kuchukua nchi kama Julius Nyerere, Yoweri Museveni , Paul Kagame n.k huwa hawana woga kuchukua maamuzi mazito maana walikuwa na visheni kabla ya kuingia Ikulu.