Paul Kagame anaweza kabisa, ili kurudisha nidhamu. Dizaini ya watu ambao hawakuingia madarakani kwa bahati mbaya hujiamini ktk maamuzi mazito
Watu waliopambana kupitia vuguvugu refu la uanaharakati au kupigana vita msituni kuchukua nchi kama Julius Nyerere, Yoweri Museveni , Paul Kagame n.k huwa hawana woga kuchukua maamuzi mazito maana walikuwa na visheni kabla ya kuingia Ikulu.